Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo golikipa amewekewa mgongo...... Mwamuzi kapeta. Watu wakafunga. Je hii ni mbeleko? au ni masuala ya M-Pesa? Hapana!! hii ni mbeleko. Sipati picha kama Agyei angechezewa vile kungetokea...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila kocha anayemsajili anafukuzwa 1- Paul Lambert Aston Villa 2- Brendan Rodgers Liverpool 3- Alan Pardew Crystal Palace 4- ???????
0 Reactions
3 Replies
756 Views
Naona kama Mr lwanda akianza kupaki vitu kuelekea kuitafuta treni ya Tazara ni muda na wakati utaongea
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiwa kama mdau wa mpira sijapendezwa na kitendo kilichofanywa na wachezaji wa YANGA kwa kumgomea kocha Mazoezi kwa sababu za kutolipwa mshahara wao karibia siku 20. Kocha sio mwajiri wao...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau wa Michezo Leo Ni siku ya kuzaliwa Kwa nyota ya Tanzania, mtoto wa Mama Tanzania ambaye anakimbiza Wazungu.. Binafsi, namhusudu sana SamaGoal na Mungu azidi kumlinda na Kumuongoza uenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ratiba ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Africa imekamilika rasmi jioni hii. "HATUA YA AWALI/ Preliminary round" Mabingwa watetezi wa LigiKuu Tanzania bara wa wamepangiwa na Mabingwa wa...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
dela kenya!!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA leo December 22 2016 imepotoa good news kwa shirikisho la soka Tanzania TFF, Tanzania leo imepokea taarifa za kupanda katika viwango vya soka vyaFIFA. Tanzania...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Draw iliyofanyika Misri Leo inaonyesha Kuwa AZAM FC wana Lambalamba ni moja kati ya timu 12 Zitakazoanzia Round ya Kwanza ya Michuano ya CAF Confedaration Cup 2017. Timu zingine 40 zitaanzia na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Klabu za mpira wa miguu Tanzania Simba, Yanga na Azam fc zapigwa marufuku kuwachezesha wachezaji wa kigeni kutokana na kutokukamilisha utaratibu wa uhamiaji na vibari vya wachezaji wa kigeni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Ni Round ya 3 baada ya...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Malezi na makuzi ya wazungu na yale ya Waafrika walio wengi ni tofauti kabisa. Hii inachangia kuwepo na tofauti pia hata kwenye uwezo wetu wa kukabiliana na changamoto zetu mbalimbali ukubwani...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Je mishahara ya wachezaji kuchelewa Yanga ni dalili za manji kuanza kujitoa au kuisusa timu?
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Klabu ya Chapecoense ya Brazil imekabidhiwa Kombe la Copa Sudamericana ikiwa ni siku 25 tangu ilipopata ajali ya ndege iliyoua watu 71. =========================== Brazilian club Chapecoense...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa mmoja nchini Kenya sikukuu ya Christmas imemjia vizuri baada ya kushinda na mkeka wake kwenye kampuni ya Sport Pesa. Jamaa mwenyewe jina lake ni Peter Byegon ni mfanyakazi wa hotel moja...
5 Reactions
14 Replies
10K Views
Chelsea wakomba tuzo tatu za ligi kuu novemba...haijawahi kutokea! Chelsea wakomba tuzo tatu za ligi kuu novemba...haijawahi kutokea! - MUUNGWANA BLOG
2 Reactions
4 Replies
1K Views
WAMUONYESHA LWANDAMINA NGUVU YAO Kocha George Lwandamina alipigwa na bumbuazi leo asubuhi baada ya wachezaji wake kugoma kuingia na kufanya mazoezi. Wachezaji wa Yanga hawakufanya mazoezi...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
mashabiki wa damu wa wekundu wa Msimbazi Simba Sport Karibuni tujadili timu letu hili la kibabe. Mechi,uchambuzi,usajili n.k
0 Reactions
1 Replies
713 Views
mashabiki wa damu wa wekundu wa Msimbazi Simba Sport Karibuni tujadili timu letu hili la kibabe. Mechi,uchambuzi,usajili n.k
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…