Beki mpya wa Simba Hamad Juma amelazwa wodi namba 5 katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kuanguka bafuni leo asubuhi akiwa nyumbani kwake, jijini Dar es Salaam. Beki Hamad aliyecheza mechi ya...
Hongera Kwa neymer Kwa mafanikio aliyapata akiwa bado kinda ukilinganisha na cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 24 wakati cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 31
Kipchoge wa Kenya ni noma dadake, lkn katuzidi kidogo tu hata hapa kwenye Mbio pia tunaanza kuziba pengo, sijui Wakenya watatokea wapi mwaka huu kila mlipo tupo mpaka muombe poo, dadadeki!!
1...
Hebu tuanze kuutizama uwanja unaomilikiwa na timu bora kabisa duniani.. Bayern Munich.. uwanja huu unaitwa Allianz Arena .
Katika Arena hii kuna;
1. Uwanja wa kuchezea mechi
2. Uwanja wa...
Neymar alifunga mkwaju wa penati ya ushindi wakati wenyeji timu ya Brazil ikiichapa Ujerumani kwa penati 5-4 na kushinda medali yao ya kwanza ya dhahabu kwenye soka la wanaume katika historia ya...
Wanaaanza..
"MASHABIKI wa Yanga wamepaniki baada ya kuona watani zao Simba wakianza Ligi Kuu ya Bara kwa ushindi mnono na kukaa kileleni, ghafla wakatafuta nafasi ya kuwaharibia lakini kabla...
Hivi ndivyo baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika.
Baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la...
Tafadhali naomba link hiyo nimeitafuta bila mafanikio wataalamu was IT naomba msaada.Natanguliza shukrani.
=========
Dakika 90 matokeo ni TP Mazembe ya Jamhuri ha Kidemokrasia ya Congo magoli 3...
Rais wa Shirikisho wa riadha nchini Anthony Mtaka amesema nafasi aliyoshika mwanariadha wa Tanzania Alphonce Ferex Simbu katika mashindano ya olimpiki yaliyomalizka jana nchini Brazil imeonyesha...
Beki Tegemeo wa Ndanda FC, Aziz Sibo aliumia mguu katika mchezo wa timu yake dhidi ya Simba uliofanyika Jumamosi iliyopita, licha ya awali kuonekana hakuumia sana lakini salehjembe imepata picha...
WATANZANIA wametakiwa kuwatia moyo wachezaji wanaofanya vizuri katika mashindano ya kimataifa kama,OLYMPIKI ambapo mwanariadha ALPHONSE FELIX SIMBU, alimaliza katika nafasi ya tano katika mbio za...
Mkiambiaji wa marathon wa Ethiopia aliyeonesha ishara ya kupinga unyanyasaji wa serikali vidi ya kabila la Oromo Hatimaye amechangiwa zaidi ya dola arobaini elfu kumuwezesha kupata hifadhi ya...
Bara la Afrika ni mshiriki mxuri wa michezo ya Olimpiki kuanzia kule Rome mwaka 1960 ambapo shujaa wa Afrika Abebe Bikila alitwaa medalu ya dhahabu katika mbio za marathon kwa muda wa saa...
A French race walker who was a favorite to win the men’s 50-kilometer event on Friday collapsed on the course after suffering what appeared to be severe gastrointestinal problems.
Yohann Diniz...
Leo hii katika diba la chamazi,timu ya taifa ya vijana ya Serengeti Boys iliweza kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya timu ya taifa ya Afrika Kusini,kwa matokeo hayo timu ya taifa ya Serengeti...
Kenya hadi sasa wana Gold 5,silver 6 na bronze 1.
Ni vizuri Watanzania tuanze na tunavyo viweza sisi na kenya tunafanana kwa kila kitu ,ndani ya miaka 10 ijayo tukijitahidi tutajenga viwanda 2...
Kwanza kabisa fahamu kwamba Yusuf Manji alichaguliwa na wanayanga mwaka 2012, Yanga ikiwa haifanyi vizuri katika mpira ukilinganisha na wahasimu wake Simba. Baada tu ya Yusuf Manji kuingia...
Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony
Brazil is the first South American country to host the Olympics
Olympic Games on the BBC
Hosts: Rio de Janeiro Dates: 5-21 August Rio...