Baada ya kelele kadhaa NA dhihaka zisizo NA msingii kamati ya sheria NA hadhi ya wachezaji imeidhinisha rasmi mchana jina la HASSAN KESSY KUICHEZEA YANGA BILA MASHARTI YOOYOTE
Tanzania tumekua na timu nzuri sana za vijana, Serengeti boys na hata Ngorongoro heroes. Kuna ile timu iliyoenda Brazil na kuchukua kombe lakini ilivyorudi iliachwa na hadi leo wengi wao wako...
Licha ya ndoto za watani wangu Yanga SC kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kufifia, inaonekana hawata rudi bure.
Hatua ya Makundi #CAFCC...
Lupita Nyong'o kung'aa zaidi
Msanii muigizaji kutoka Kenya Lupita Nyong'o ameteuliwa kuijiunga na mabingwa wengine wa kimataifa katika filamu maarufu zaidi duniani STAR WARS.
Lupita anatarajiwa...
AGOSTI 17, 2016
NGAO YA JAMII
Yanga vs Azam Taifa
Agosti 20, 2016
Kagera Sugar vs Mbeya City Kaitaba
Simba vs Ndanda FC Taifa
Toto African vs Mwadui FC Kirumba
Stand United vs Mbao FC...
Nimepanga uzao wangu wote lazima upitie huu mchezo, huyu mdogo ana miaka 3 kasoro, nimepanga kumpeleka pahala ajifunze
Umri unaofaa ni upi?
Unanishauri nini zaidi?
Brazil finally earned the Olympic gold medal the host nation most desperately wanted as the men's soccer team beat Germany 5-4 in a penalty shootout after a 1-1 game on Saturday.
Neymar -- far...
MFANYABIASHARA anayetaka kununua hisa ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameanza kasi ya kuitumikia klabu hiyo ya Simba kwa kuanza kulipa mishahara ya wachezaji kuanzia mwezi huu huku...
Huku yeye akiwa hajui kinachoendelea nyuma yake, Mtangazaji wa BBC alilazimika kukatisha matangazo yake, baada ya nyuma yake kuonekana watu wakifanya ngono bichi. Halafu akajifanya kuwaongopea...
TV1 mnafaa kuitwa watz....miaka ile ilikuwa itv ikaja tbc1. Asante kwa kutupa mzipo wa epl....naona liverpool na burney leo na mzee wetu dr leakey wa kipindi kile channel ten na akina ndimbo na...
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Mh. Jamali Malinzi amemtumia salamu za pongezi ndugu Jamali Malinzi kwa kachaguliwa tena kuongoza chama cha soka cha mkoa wa kagera, na kumtakia...
Usain Bolt completed an unprecedented Olympic 'triple triple' as Team GB claimed a 24th gold medal of Rio 2016. Bolt helped Jamaica land 4x100m relay gold, having already won the 100m and 200m...
Nimeangalia game ya France na Romania mpaka dk hii ya 88 na nusu ambapo France inaongoza 2-1 , kiukweli huyu mchezaji anasifiwa bure tu .
Baada ya yeye kutolewa ndio timu ikapata uhai , kwa...
Inavyoonekana ukiwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani inasaidia pia katika kila nyanja. Kuanzia Olimpikia ya China 2008, London 2012 na hii ya Rio, Marekani ndio huwa wanaongoza kwa medali. Tuna...
Hidhi na baadhi ya kauli za wanamichezo maarufu kuhusu CR 7...
Maradona:"Ureno hainabudi kujenga sanamu ya Ronaldo"
"Mabeki wanamuhofia Ronaldo kuliko Messi"
Mourinho:"Kwangu Ronaldo ndiye...
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?
hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?
yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku...