Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Bodi ya ligi TANZANIA itaanza kutumia mfumo wa VIDEO kutoa adhabu kwa vilabu, mshabiki, pamoja na waamuzi katika msimu mpya wa ligi baada ya sheria 16 kufanyiwa marekebisho na shirikisho la soka...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Wanachama wa yanga wamekubaliana rasmi kumbembeleza mwenyekiti wao kipenzi bwana Yusuf Manji aachane na mpango wake wa kujiuzulu. Angalia video hii
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jose mourinho amethibitisha kuwa paul pogba ataanza katika mchezo wao wa leo wa ligi kuu england dhidi ya southampton,huku akikataa kuwa nyota huyo wa pauni 100 million anaweza kuwa bado hayopo...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Pita hapo
0 Reactions
0 Replies
596 Views
TAARIFA ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga inaonyesha kwamba deni la klabu hiyo sasa limefikia Sh 5.4 Bilioni. Taarifa hiyo kwa mwaka 2016 imeonyesha kuwa Yanga alikopa kiasi cha Sh 1.5...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimekua nikitazama medal za olympic miaka mbalimbali nikagundua nyingine huwa zimechorwa mwanamke mwenye mabawa kama tulivyozoea kuona picha za Malaika zinavyoonekana. Ningependa kujua ni nini...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine tena Tanzania kwenda kushiriki kwenye mashindano makubwa ya michezo mbalimbali duniani ambayo mwaka huu 2016 Summer Olympics itafanyika huko Rio de Janeiro nchini Brazil, kuanzia...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, dogo anajua mpira. Leo kafunga goli la pili dk ya 47 na kuiwezesha timu yake kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Lokomotiv zagreb. Mechi ya kwanza Krc Genk ya...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam wana jamvi. Baada ya Yanga kulazimika kumpigia magoti Manji baada ya Mzee Akilimali kupingana na pendekezo lake kutaka kuikodi Yanga kama movie za kutazama. Wana jamvi bila shaka...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
AZAM FC NDIYO MABINGWA WA NGAO YA JAMII na mpira umemalizika hapa kwenye Uwanja wa Taifa. Azam: Balou anaenda kupiga GOOOOOO!!!!!! Yanga: Niyonzima anaenda kupiga ANAKOSAAAA Azam: Kapombe...
4 Reactions
319 Replies
34K Views
· Manji anaingia ubia na Yanga na kuamua kuchukua asilimia 75 ya mapato huku akiiachia klabu asilimia 25 na kubeba hasara yote. Kumbuka Mzigo wa gharama zote pamoja na hasara za timu zitabebwa na...
7 Reactions
60 Replies
10K Views
Salaam, Nimekuwa nikifuatilia michezo ya Olympic inayoendelea kule Brazil, majirani zetu wanafanya vizuri sana hasa mchezo wa riadha na ni kwa miaka mingi mfululizo. Tanzania wala haionekani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari Sikiliza maamuzi ya Wanayanga yaliyofikiwa mapema leo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Zikiwa zimeshalia siku chache kabla ya kualizika kwa mashindano ya Olimpili 2016 inayofanyika Rio, polisi nchini Brazil wamemkamata Mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Ulaya, Patrick Hickey kwa kosa la...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
August 16 2016 ikiwa ni siku moja imepita toka kuenea kwa habari katika mitandao ya kijamii kuwa mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amejiuzulu nafasi yake ya uenyekiti kwa madai ya kuandamwa na...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika Uwanja wa Olimpiki Novemba 7 mjini Rades, Tunis kuanzia Saa 1:00 usiku na Saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. KIKOSI CHA AZAM LEO : Aishi Manula, Erasto...
0 Reactions
154 Replies
17K Views
Kumejitokeza machache sana hapa katikati, baadhi ya hayo yanaonekana na kusemekana kuwa yataiyumbisha sana Dar es Salaam Young Africans SC hadi ishindwe kufanya vyema kwenye msimu wa mwaka...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Hii ni kudhihirisha ni kiasi gani tuko mbali na michezo,na matokeo sasa ndio kama hivi ushiriki wetu olimpiki,mini kimepelekea kutorushwa live event kwa mchezo huu wa Leo?Azam mlirusha Live mechi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naona vijana wa Brazili wamekuwa hatari mno na kwa sasa naona ile Brazil ya zamani inarudi upya.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shauku ya wanachama na mashabiki wa Simba SC ya kuona klabu yao ikifanya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji ambao utamwezesha Mkurugenzi na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group)...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…