Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Refa mmoja raia wa Sweden, alimpa kwa mpigo kadi mbili za njano mwanasoka Adam Lindin Ljung-kvist, akiwa uwanjani, kwa kosa la kutoa hewa mbaya. Mchezaji huyo alipokuwa katika harakati za...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
The Highest-Paid African Players in NBA History Hii ndio list ya wana kikapu waafrica waliotajirika NBA.
0 Reactions
0 Replies
949 Views
wengi wanapiga kelele kuhusu kusitishwa umisseta na umitashumta kana kwamba lilikuwa ni jambo la muhimu sana katika maisha yetu ya kitanznaia. mwningen anaongea kwa uchungu kuwa tutaua vipaji...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Kwanza nikiri kabisa kuwa nimekuwa ni Mshabiki, Mpenzi na nashukuru Mwenyezi Mungu kila mara moyo wangu umekuwa mgumu sana Mimi kuchukua kadi ya Uanachama ya Klabu ya Simba kwani hapa tu siyo...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
Wakuu kuna huyu Dogo anawindwa na Barca kwa kifupi dogo ni balaa mno mnaweza tafuta move zake kule Youtube.
3 Reactions
36 Replies
4K Views
The late Albert Mangwea aliamini kuwa jina lake ndio surname ya mziki wa Rap. Sio kwamba alithibitishwa kuwa bora kuliko Suleiman Msindi "Afande Sele" ambaye aliitwa mfalme, hapana. Ni kwa sababu...
0 Reactions
6 Replies
987 Views
Ni kabla ya mechi ya Euro 2016 ambapo Ureno ilikutana na Hungary amabapo mwandishi wa habari alimfuata Ronaldo kumhoji kuhusu mechi hiyo lakini Ronaldo alichukua kipaza sauti chake na kukitupa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FIFA imetangaza majina matatu yaliyopitishwa katika kugombea Ballon d'Or 2015 Ni Messi,Neymar na Cristiano, Wakuu tuchangie hapa,wewe unahisi ni nani anastaili kutwaa hiyo tuzo?
3 Reactions
128 Replies
13K Views
Nadiriki kusema hapa Tanzania waandishi wa habari ni kikwazo saaaaana katika nyanja mbalimbali za ustawi wa Taifa letu kutokana na namna wanavyoripoti taarifa mbalimbali. Mnakuza saaana matukio...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndondo Cup ni mashindano yanayoandaliwa na Clouds FM kupitia kipindi chao cha michezo cha Sports Extra kinachoruka hewani kuanzia Saa Tatu usiku hadi Saa nne na kudhaminiwa na Dr. Mwaka...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11. Inaaminika kuwa wanyama mwenye umri wa miaka 24, ambaye alijiunga na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau jana kwenye mechi ya fainali ya UEFA Champion nilimsikia mtangazaji wa mechi hiyo kutoka Berln kwamba amebahatika kuwaona wachezaji hao wote kwa kipindi chote lakini bado anaamini Messi ni...
3 Reactions
104 Replies
11K Views
Kutokana na mkanganyiko wa uendeshaji wa mchakato wa uchaguzi katika Klabu ya Stand United ya Shinyanga, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF), limeagiza michakato yote miwili inayoendeshwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Young Africans ya Dar es Salaam, Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), utachezeshwa na Mwamuzi Janny Sikazwe...
1 Reactions
0 Replies
878 Views
Waamuzi wanne kutoka Ethiopia, ndio watakaochezesha mchezo wa kimataifa kati ya timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ na Shelisheli utakaofanyika Juni 26, 2016...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Leo Jumamosi 28.5.2016 ndio siku ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, michuano mikubwa kabisa na yenye uhondo wa pekee duniani kwa ngazi ya vilabu. Fainali hii inazikutanisha timu mbili toka...
14 Reactions
656 Replies
50K Views
"Albiceleste"wamefanikiwa kufuzu kucheza nusu ya Copa America baada ya kuwafunga Venezuela 4-1. Gonzalo Higuain, Erick Lamela, na Lionel Messi wakiwa wafungaji. Mfalme wa soka duniani kuwahi...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
NJIWA UNAYESOMA NIFIKISHIE MAMBO HAYA KUMI. 1. Tafadhali naomba yeyote awaambie Simba hakuna haja ya kuruka ukuta kama mlango upo wazi. 2. Waambie Yanga unapomnyoa mzee hunyoi mvi bali nywele...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau wote tukutane hapa kupeana udambwi dambwi wa mechi ya leo usiku. Kwanza tutangulize dua zetu kwa wawakirishi hawa wa Africa Mashariki. Mungu Ibariki Yanga, Mungu Ibariki Tanzania...
5 Reactions
328 Replies
49K Views
. . Ukiangalia hii Video ibayojplay km hujabonyeza kitu ukfungua fifa 14 km lmetabiri mwaka huu... Lnaanza kwa.. 1.wachezaj wa dortmund wanalia (refer kufungwa na bayern fainal f.a cup yao 2016)...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…