Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro akizungumza na waandishi wa habari amedai kuna watu wanahujumu uchaguzi wa klabu hiyo ndani ya TFF, Serikali na Yanga wamesema wana ushahidi na wanaendelea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WAKATI Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikisogeza mbele uchukuaji fomu ya uchaguzi wa Yanga, uongozi wa Yanga klabu hiyo umejitangazia mchakato wao wa uchaguzi tofauti na...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Mchazaji wa pili kwa Dunia ( mwizi )baada ya C.Ronaldo huyo si Mwingine ni Lionel Messi amezua kichekesho mahakamani baada ya kujibu wakili kuwa alikuwa akisign kitu asichokijua katika mikataba ya...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA lazifanyia marekebisho Sheria mpya 95 za Soka, kuanza kutumika leo ========= Shirikisho la kabumbu la kimataifa FIFA limezifanyia marekebisho kanuni kadhaa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Champions league goals.. Messi=4 Suarez=8 Neymar=3 TOTAL =15 Ronaldo=16 Final equation MSN+1=Ronaldo If Ronaldo=16 Messi=4 Neymar=3 Suarez=8 Then 1.4(Messi)=Ronaldo 2.4(Neymar)+Messi=Ronaldo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kamati ya Uchaguzi ya kablu ya Yanga leo imetengaza tarehe rasmi ya uchaguzi wa klabu hiyo kuwa Juni 11,huku ikisisitiza TFF na BMT wakae kama waangalizi katika uchaguzi huo. Akiongea na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna taarifa katibu wa kimataifa leo anaongea na waandishi wa habari Mwenye taarifa atusaidie
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kamati ya Uchaguzi ya kablu ya Yanga leo imetengaza tarehe rasmi ya uchaguzi wa klabu hiyo kuwa Juni 11,huku ikisisitiza TFF na BMT wakae kama waangalizi katika uchaguzi huo. Akiongea na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasaalam Siku si nyingi michuano ya kombe la ulaya itaanza. Naomba mwenye hint ya tv channels zitakazorusha mechi hizo azimwage hapa.
0 Reactions
1 Replies
907 Views
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Sevilla have paid tribute to " club icon " Jose Antonio Reyes after announcing his Exit from the club. Mchezaji huyo mwenye miaka 32 amesaidia sevilla kuvunja rekodi baada ya kutwaa kombe la...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Taarifa niliyoipata si mda mrefu ni kuwa katibu wa TFF ndugu mwesigwa celestine jumamosi ijayo kwenye mkutano kamati ya utendaji anaenda kung'olewa. Malinzi amekuwa anamshutumu katibu wake kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kutangaza kuvunja mkataba klabu ya Yanga dhidi ya mchezaji raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, Katibu wa klabu hiyo Dr Jonas Tiboroha sasa amekalia kuti kavu kutokana na kufanya maamuzi ya...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Taarifa kamili zinafuatia......
6 Reactions
32 Replies
8K Views
WAKUU HUYU JAMAA SJAWAHI ONA MWINGINE AFRICA NA HUKO KWA WENZETU LABDA GAUCHO,JAMAA ALIKUWA ANAPGA VYENGA,MAKANZU YA KUCHUKULIA MPIRA MGONGONI, MNAMZUNGUMZIAJE HUYU KIUNGO MSHAMBULIAJI TOKA NIGERIA.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Messi ni mchezaji mashuhuri awapo uwanjani.Ni aina ya mchezaji aliyejaaliwa kila kitu katika Ufundi,unyumbulifu wa Mpira. Nyuma ya pazia kwa hivi karibu Messi amekutwa na shitaka na ukwepaji...
1 Reactions
1 Replies
900 Views
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu muda huu kuna mechi kati ya genk anayochezea mtanzania Mbwana Samatta na sporting charleroi mpaka sasa timu ya samata inaongoza goli 2 huku akiwa amefunga...
5 Reactions
70 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…