Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Msiache kutupabupdates jaman ahsanteni kwakuwa pamoja nasi tunaitaji kujua pia matokeoyenu itusaidie kuangaliannani amebaki wa kuchukua toka huko
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana kuona bajeti ya nape haina hata kipengele cha mchezo wa mpira wa miguu namna gani wataukuza kama serekali kwa kushirikiana na wadau Nini maoni yako katika hili???
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Huyu mmoja Anaitwa Mohammed Bebeto kwao ni Wete PEMBA na sasa hivi ni mchezaji na mfungaji kwenye hii time yake huko ulaya. Na mwengine huyu wa Manchester United Anaitwa Rashid Mohammed ni Mtoto...
1 Reactions
72 Replies
27K Views
Wakati bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/17 iliyopitishwa bungeni mjini hapa juzi, imeshuka kwa Sh. bilioni 4.6 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka huu ambayo ni Sh. bilioni 24.957...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HUENDA siku za mastraika Donald Ngoma na Amissi Tambwe zikaanza kuhesabika kwani Derby County FC ya England imeonyesha nia ya kuwasajili. Derby County ya Ligi Daraja la Kwanza England, imetuma...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Leo mabingwa wa Tanzania yanga atakabidhiwa ubingwa na mh waziri mwigilu nchemba akisindikizwa na mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda Wadhamin wakuu vodacom na azam tv wamejipanga...
1 Reactions
49 Replies
12K Views
Kama wametajwa leo uwanjani tujulishane wapendwa hio list hapo juu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hivi umewahi kumjua msemaji wa timu yeyote ile ya Ulaya? mnawajua wasemaji wa Man U?au Barcelona? hivi mnafikiri hizi club kubwa kabisa duniani hazina idara za habari? zinazo tena zina watu veyr...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
FULL TIME : Simba SC 0 - 1 Mwadui FC KADI NYEKUNDU Ajib analambwa kadi nyekundu baada ya kumrukia kwa makusudi Kabunda DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 90, Mgosi anaingia vizuri na kutoa krosi nzuri...
2 Reactions
108 Replies
13K Views
Kutoka Taifa Ndanda wanamenyana na Dar es Salaam Young Africans (Yanga) katika mechi ambayo Yanga watakabidhiwa Kombe la ligi kuu ya Tanzania Bara VPL. VS ===================== MPIRA...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ibrahimovic has been heavily linked with a move to Los Angeles Galaxy Zlatan Ibrahimovic will leave Paris St-Germain at the end of the season. The 34-year-old Sweden striker's contract with the...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Shirikisho la soka barani limebadilisha mfumo wa uendeshaji ya michuano ya klabu bingwa barani africa na kombe la shirikisho kutoka kuwa na makundi 2 hadi kwenye mfumo wa makundi 4 . hii...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Hii inatokea TANZANIA peke yake kwakua wametwaa ubingwa ndio wamelazimisha kucheza nyumbani wakati ilipaswa kucheza ugenini hii ndo TANZANIA YETU kila sehemu kumeoza.Mama watoto niongeze ugoro...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Haya yalikuwa mahojiano tata sana kati ya msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara na mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge. Ni baada ya kumalizika na kwa mechi kati ya Simba na maji maji ambapo timu...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Kuna huu ujumbe mzito ulienda Zurich, Uswisi, kuiombea ZFF uanachama wa FIFA ukiongozwa na Naibu Waziri Kiongozi wa wakati huo Juma Shamhuna, Naibu Waziri wa Michezo Joel Bendera na wengineo...
6 Reactions
54 Replies
6K Views
Naanza kuwaza sasa hivi wazungu wananza kuangalia uwezo wa mtu na sio rangi, Je kwenye uteuzi huu Kinadada mnao dai 50/50 mmejifunza kitu kwa mwenzenu, uwezo mnao? "Fédération Internationale de...
1 Reactions
6 Replies
979 Views
Daaa kutoka kipindi wanajiita taifa kubwa hadi sasa chura duuu mzee Mchachu anahaki ya kulia hakika... Poleni sana lkn mm sijafurahishwa kabisa na kutokwa na machozi ya mzee kama yule aisee...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Print | Close this window Athletics-Kenya's marathon queen Jeptoo fails second doping testFri Dec 19, 2014 9:48pm GMT NAIROBI Dec 19 (Reuters) - Kenyan Rita Jeptoo, winner of the Boston and...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
KIKOSI BORA CHA MSIMU "VPL" 2015-2016: 1. Vicent Angban - SIMBA SC 2. Shomari Kapombe - AZAM FC 3. Mohammed Hussein Tshabalala - SIMBA SC 4. Andrew Vicent - MTIBWA SUGAR 5. Paschal Sergie...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Chelsea have confirmed that John Terry and his agent met with chairman Bruce Buck and director Marina Granovskaia this week and an offer was forthcoming. "With it coming so late in the season...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…