Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wenye timu mnajikausha,mshakalia kimoja huko
1 Reactions
149 Replies
20K Views
Nchi hii tulibahatika kupata rais mpenda michezo kwa miaka kadhaa, tunaomba awamu hii ihakikishe yafuatayo; 1. #TeamTanzania# tunachukua Medali za Dhahabu katika Mashindano ya Olimpiki, Rio2016...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
pamoja sio mpenzi sana wa mpira,lakini nimegundua kipaji cha ufugaji magoli kwa wachezaji wa tanzania kimeyeyuka,ukiangalia wachezaji wanaoongoza kwa ufungaji wa magoli katika timu zetu asilimia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Soka letu ni la ajabu sana,tunapiga hatua moja mbele kisha tunarudi hatua 9 nyuma then tunakaa na kujipongeza.
2 Reactions
67 Replies
8K Views
HABARI KAMILI.... Simba aliyeingia kwenye zizi la Ng'ombe la msukuma siku ya jumapili 17/04/2016 jioni ktk uwanja wa Taifa ameuawa na mTOTO wa msukuma....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kenya kwa mara nyingine imedhibitisha kwamba wana vipaji baada ya kunyakua kombe kuu kwenye series za rugby (saba upande)huko Singapore dhidi ya Fiji kwa try 30 kwa 7. Kenya ndio timu ya pili...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
si maneno yangu,bali nimemnukuu mojawapo wa makocha wa vpl,kama ilivyokuwa kenya kwa afc leopards na gormahia na huku lazima iwe hivyo ndio tupate mafanikio kisoka.kuna ukweli wowote?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii imezidi kushamiri kuwa ili Yanga ishinde kwa sasa imekuwa ni mpaka mchezaji wa Team pinzani atolewe kwa kadi nyekundu. jambo hili wachambuzi wengi wamekuwa wakilizungumzia kuwa ni aina ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naombeni kujua alipo huyu mchezaji wa mbeya city msimu uliopita. Nackia kitaaluma ni mwalimu je anachezea klabu gani kwasasa au ndo amerudi kwenye taaluma yake? Binafsi nilitegemea timu...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
LEO Kwenye uwanja wa Taifa kutakuwa na pambano kali la kufa mtu kati ya timu ya Wananchi Dar Young Africans dhidi ya timu kutoka kule mkoani Morogoro Mtibwa Suger. Yanga wanaingia katika pambano...
2 Reactions
83 Replies
10K Views
Manchester city ni timu ambayo imejipatia umaarufu mkubwa hasa baada ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na matajiri kutokea mashariki ya mbali Baada ya kujipatia umaarufu mkubwa ndani ya Barclay's...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
BEKI wa kati wa Azam FC, Serge Wawa Pascal na mshambuliaji Kipre Herman Tchetche, wote raia wa Ivory Coast hawatasafiri na timu kwenda Tunisia kesho. Wawili hao wote watakosekana kwenye mchezo wa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kama ilivyo kawaida Leo tutashuhudia mchezo mkali baina ya Yanga Na Mtibwa.Watazamaji Na wapenzi wa soka watarajie upendeleo wa wazi wa Waamuzi wetu Kwa timu ya Yanga ili ipate ushindi.Kama...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Droo ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa ulaya imetoka Manchester City imepangwa kukutana na Real Madrid, na Bayern Munich itakutana na Atletico Madrid ili kuingia fainali Mechi za kwanza...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, leo wanaikaribisha Mtibwa Sugar ya Turiani kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kumalizia kiporo chao cha raundi ya 19 ya Ligi Kuu, matokeo ambayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Embu mtutonye..nchi gani inaongoza kwa wasupu wakare na watamu..kati ya Tz na Kenya
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Mashabiki wa mchezo wa kikapu Marekani,watalazimika kulipa kiingilio cha dola 27,500 (zaidi ya Sh.milioni 60) kushuhudia mechi ya mwisho ya fainali ya gwiji,Kobe Bryant akiichezea timu yake ya LA...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Michezo imehama muda sana kutoka kwenye hali ya kuwa kitu cha kujifurahisha nacho na kuburudisha, na sasa imekuwa biashara inayohitaji uwekezaji sahihi. Bidhaa ni soka la kuvutia la timu yako...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Baraza la Michezo Tanzania limeitaka timu ya Yanga kufanya uchaguzi Kaimu katibu Mkuu wa BMT Mohamed Kiganja amesema, walishatoa maelekezo kwamba ndani ya siku saba wafanye utaratibu au wafanye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KAPOMBE AREJEA KUENDELEA NA MATIBABU NYUMBANI Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amerejea nchini jana jioni baada...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…