Kocha wa Simba, Jackson Mayanja sasa ameingia kwenye ugomvi mkubwa na Mganda mwenzake, mshambuliaji Hamisi Kiiza.
Mayanja amemfukuza Kiiza kambini Ndege Beach, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam...
2005: BARCELONA 2-1 CHELSEA
The bad blood between these two sides originally stemmed from their first Champions League encounter, when Didier Drogba was harshly sent off for a late but in-no-way...
Haruna Niyonzima aipa ushindi Yanga kwa goli la dakika za lala salama.. Goli la kwanza lilifungwa na Saimoni Msuva dk ya 3 tu ya mchezo.
Ft, Yanga 2 Mwadui 1
N/B:
1. Simba 57
2. Yanga 56...
Wanajiita wa kimataifa, wanajiandaa na mechi za kimataifa hawajui kumbe trick hio inawagharim wao wenyewe.
1. Kukaa mada mrefu bila kucheza kuna hatari wachezaji kuongezeka kilo ndo kinachotokea...
Klabu ya Manchester City imepewa miamba wa Ufaransa Paris Saint Germain kwenye robofanali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya droo kufanywa mjini Nyon, Uswizi.
PSG ndio waliowatoa Chelsea...
mm niwambie tu yanga hakuna uchaguzi wala hawawazi uchaguzi yanga inawaza mechi ya Al Ahali tu
narudia kusema Yanga haina uchaguzi huo wanaotaka wao ila tutakuwa na uchaguzi tunaoutaka sisi
Young Africans SC vs Mwadui FC
1. Deo Munishi ( Dida )
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub ( Canavaro )
5. Pato Ngonyani
6. Thaban Kamusoko
7. Simon Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi...
Ngoma ipo live.
Team ni 4:
Yanga FC
Azam FC
Mwadui FC
Coastal Union FC..
------------------------------
Mwadui VS Azam - Shinyanga.
Coastal Union vs Yanga -Mkwakwani.
Wachezaji wa timu matata ya Ndanda FC waazimia kugoma,kushinikiza walipwe malimbikizo ya mishahara yao.
Timu yetu imekumbwa na ukata hali inayotishia umahili wetu,alisema mmoja wa wana ndanda.
#MT
Poleni sana ma-fans wa madrid kwa goli 2 mlizopata last week kutoka kwa mkoloni,so mchezo ndivyo ulivyo, hakuna kitu kisichokua na mwisho, nina mengi ya kuwashauri lakini sina muda kwa...
Leo ni mechi ya Simba SC na Coastal union inayochezwa uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
===
Nukuu Muhimu
Timu ya Coastal union kutoka walianza kuandika bao la kuongoza mnamo dakika ya 19 kupitia...
Semi Final FA CUP
Mwaadui Fc vs Azam Fc
shinyanga
Costail unioni vs Yanga Africa
Tanga kwa waarabu wa Tanga mkwakwani mechi tarehe 24
mmepokea vipi hii droo kwa mara ya kwanza imepangwa...
Mpira wa miguu Tanzania unatakiwa kubadilisha mifumo wa kiutendaji na uendeshaji.. Ili kuleta maendeleo ya soka na wanaojihusisha na soka kwa ujumla... na kuleta maendeleo kwa taifa...
Kuna haja...
Hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa
Katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe kabisa
Nashindwa kuwaelewa...
Afisa habari wa Mabingwa wa kandanda Tanzania Yanga Mh.Jerry Muro Leo yamempata makubwa kwani inaonekana akili zimemruka kutokana Na matokeo ya sare Na Al Ahal ya Misri.Mh.Murro amewatupia...
Kuna vitu vingi Yanga walifanya na kufanyiwa jana na hovyo sitastuka wakienda Cairo kwa marudiano........mojawapo ni hii mbeleko ya wazi ukingoni mwa mechi kwani ilikua ni tuta na umeme juu
Nimeambiwa na mtu wangu wa karibu msemaji wa klabu kubwa Nchini kapata ajali ya kuanguka toka kwenye bajaji.
Kama ni kweli pole sana kwa yeye binafsi na wapenzi wa simba...