Mtazame Ronaldo alivyojigeuza ombaomba huku akicheza mpira ndani ya Madrid, alijigeuza babu watu wakampotezea baada ya kumjua ikawa mafuriko wanataka kupiga nae picha,
https://youtu.be/RKr-U1r1AlM
Jeshi la maangamizi lilokua vitani jana usiku katika uwanja wa Amaani.
Kikosi bora kabisa kwa sasa Zanzibar, Black Sailor ambao wamepanda ligi kuu msimu ujao kwa kuvunja rekodi ya kua na point...
Leo mabingwa watarajiwa wa VPL msimu wa 2015/2016 wamehitimisha ziara yao kisiwani Unguja kwa kuiadhibu ipasavyo KMKM mbele ya refa wao, uwanja wao pia mashabiki wao goli 3-2.
KMKM ndo walianza...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Iman Kajula Akizungumza wakti wa Kuzindua Mpango wa Kuuza Vifaa vya simba Kupitia Duka la Mtandao.
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Jumia wamezindua huduma ya...
Leo kuna mbio za magari kule Arusha.. Sijui ni kwanini huu mchezo hauna Updates huku au ndio zile fikra za mchezo wa wahindi. Mlioko Arusha tunaomba Updates wengine tumeshindwa kuja huko...
Baada ya kuonyesha kiwango cha kutakata katika michuano ya Kagame, Una lipi la kumzungumzia Beki Mahiri wa Azam Fc Serge Wawa.
Mimi la kwangu ni hili;
Jamaa hastahili kuendelea kucheza Bongo...
Japo timu ya Simba SC imekua na kauli mbiu mbali mbali na majina ya utani kama "Simba Taifa Kubwa", "Wekundu wa Msimbazi", "Simba 5-0".. kauli mbiu kuu ya Simba SC ni "NGUVU MOJA".
Ukiiangalia...
Salaam sana wana JF!
Leo nachukua fursa hii kutangaza rasmi utabiri huu wenye uzito mkubwa sana hasa kwa wapenzi na wafuatiliaji wa English Premier League™, kwamba msimu huu unaoanza mwezi...
Jeff Kinyanjui: My CECAFA Kagame Cup Best XI
By Jeff Kinyanjui Aug 03, 2015
Print Email
Congratulations to Tanzanian moneybags Azam FC for winning the 2015 CECAFA Kagame Cup. They totally...
According tothe Human Rights Foundation (HRF),Leo Messi's visit toGabonsupported "one of the world's most repressive and corrupt regimes".
The New York-based NGO condemned the Barcelona star's...
Leo ni game ya utangulizi kabla ya ligi kuanza ambayo hujulikana kama mchezo wa kugombea Ngao ya Jamii (Community Shield).
.
Palee Wembley Stadium saa kumi na moja kamili jioni (17:00) kwa saa za...
41 MINUTES AGO
Sauti Sol disappointing outing at MTV MAMA awards
Kenyan fans attributed their loss to the tyranny of numbers that saw Nigerian artistes emerge the night's big winners taking home...
Kweli tanzania tuna safari ndefu sana yani hata marefa hatuna....sijaona madudu ya marefarii kama ya kwenye ligi ya bongo ,marefa wa kagame walikuwa na nidham ya mchezo,busara,na ukali kidogo pale...
Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi Julai 18 hadi Agosti 2 jijini Dar es Salaam na Mabingwa wa Tanzania, Yanga wamepangwa Kundi A lenye timu za Gor Mahia ya Kenya, Kharthoum ya Sudan, Telecom ya...
Waungwana samahani nahitaji kufahamu forums za Kenya zenye muundo kama jamiiforums ambayo watu wana toa mada na watu wanatoa comments zao kwa Uhuru, nimepitia ghafla, niaje, kenyamoja hizo zote...
Kupitia ukarasa wao wa Facebook AZAM TV kuanzia tarehe 15 August wataanza kuonyesha mechi za ligi kuu ya Hispania Primera La Liga
Ahsante Azam Tv naamini huu ni mwanzo wa mambo mazuri mengi mno...
Wana JF
Naamini wote tu wapenzi wa timu zetu za ndani linapokuja suala la Utaifa kwanza. U Yanga, U Simba, U Azam, U Mbea City, nk tupa kuleee!
Mm ni shabiki na mpenzi sana wa Young Africans...
Hatua ya nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) inatarajiwa kuendelea kesho katika uwanja wa Taifa, huku kiingilio cha chini katika michezo hiyo...
Kufuatia Mkongwe wa Real Madrid, Iker Casillas Kuhamia Fc Porto baada ya Miaka kadhaa ya heshima kama mmoja wa golikipa bora zaidi wa kizazi chake kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.
Yupi ni...