Nipo naangalia fainali ya capital one cup kati ya Chelsea na Tottenham na mvua imeanza kunyesha kipindi cha pili huku mashabiki wakiloana.. Naona manager wa Tottenham anahangaika kujifuta maji ya...
dah hii tatizo nini mbona msimu timu yetu simba mnatia aibu na pressure za bure mashabiki wenu. hivi tatizo ni kwa viongoz au wachezaji au ni sisi mashabiki ndiyo kikwazo kwa simba kutokupata...
Kutokana na Azam FC jana kushindwa kuhimili fitna za ugenini,bado naamini Simba na Yanga ndizo timu pekee katika michuano hiyo. Simba na Yanga wameshafanyiwa hujuma ugenini hadi wamekomaa kwa...
Kocha wa timu ya Mwadui FC Jamhuri kiwhelu ‘Julio' ametua timu ya Coastal Union hadi mwisho wa msimu huu.
Kocha huyo mwenye maneno mengi, ameiwezesha timu ya Mwadui kupanda daraja kushiriki...
Kama yanga imeingia botswana ikiongoza bao 2 ,alafu wanaongeza bao moja ugenini then wanapanic kiasi kile baada ya bdf kusawazisha,wanashindwa kuweka mpira chini na kurilax,wanabutua ka vile...
A Tanzanian artiste has been accused of shoplifting from one the supermarkets in the city. Yassin Ali Wanga, 37, allegedly stole six Aliya Feston plates valued at Sh2,100 from a popular...
Baada ya furaha ya kufuzu raundi nyingine kwa Yanga, leo tuwe pamoja kwa wawakilishi wengine wa Tanzania, Azam FC. Tukumbuke mechi ya kwanza iliyochezwa Dar es Salaam, Azam ilishinda goli mbili...
Wadau wote wa soka, tukutane hapa kupeana updates, hoja, majadiliano na mawazo mbalimbali yanayolenga mechi hii ya Leo.
Muda_ [10:00 jioni.]
Uwanja_[ Taifa Dar es Salaam]
====================...
Azam imetolewa rasmi kwenye michuano ya Klabu bingwa Africa baada ya kufungwa goli 3-0 na El Merreikh ya Sudani mjini Khartoum katika mchezo Wa marudiano hivyo Azam fc imetolewa kwa jumla ya goli...
Simba SC inazidi kupotea midomoni mwa washabiki na wadau wa soka hapa nchini, Umefika wakati wa Aveva na benchi lake wajitafakari na kuchukua hatua stahiki!
=================
Simba, Nguvu Moja!
Leo katika mechi YA Ligi Kuu Kati YA Stand United chama la wana! Na Kagera Sugar limeshindwa kumalizka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika Uwanja wa CCM Kambarage hadi Mpira unasimama Stand...
Kushuka kwa kasi kwa kiwango cha uchezaji wa Mbeya City kumeshtua wengi.
Lakini timu hii hii ilipokuwa chini ya Manispaa ya Mbeya mwaka jana ilifanya vizuri sana. Ikajichanganya na kuingia...
Watu wazima na akili zao mishipa ya shingo inawatoka kwa kushabikia mpira wa Tanzania wa butua butua,
Mpira unaopambwa na vyombo vya habari ili watu wanunue.Supastaa mtanzania akienda timu kubwa...
The Kilimanjaro Marathon (42.2km), Half Marathon (21.1km) and Fun Run (5km) is a fully registered IAAF race, the marathon has official marshaling, time-keeping and refreshment points at regular...
Viongozi wa Yanga wanaripotiwa kulalamika eti wachezaji wao Niyonzima (Rwanda), Tambwe (Mrundi) na Sherman (Mliberia) "wamezuiwa" kuingiwa Botswana kwa kile wanachodai ni "siasa za mpira".
Huu ni...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrika Kusini kufuatia mwaliko wa Baraza la vyama vya soka Kusini mwa Afrika (COSAFA).
Michuano...
Kesho jumamosi kuna mechi mbalimbali za vpl Tanzania bara. Lakini kilichonisukuma kuandika haya ni taarifa niliyopenyezewa na mtu wangu wa karibu kutoka Shinyanga kutokana na maneno yaliyozagaa...