Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania.
Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani...
Benchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake.
Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma...
Salama jamani, leo nawakumbusha tu wazee wa ubaya ubwela ule upinzani wa uwanjani uliokuepo kati ya simba na Yanga ni kama haupo tena, yahani Kwa sasa mpinzani wa Yanga nawezakusema ni Azam na...
Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado...
Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025
Utambulisho huo...
Kuna baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanasema Jana yanga kacheza kawaida sana lakini awajui gamond alikuwa na mbinu Gani kwenye Ile mchezo, zifuatazo ni mbinu za gamond na sababu ya kucheza kwa...
Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa.
Nadhani ni muda muafaka Mo...
Yanga katengeneza nafasi nyingi za magoli karibu 3 clear kabisa, Prince dube na Azizi ki walikuwa wanamaliza mchezo mapema but Sangoma wao kafanya yake!
Simba wanayo safari ndefu sana kupata...
Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake.
Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi?
Mara Ubaya Ubwela imeliwa.
Mara...
Kwa mujibu wa baadhi ya mashabiki wa Simba wamelalamikia Penalty wanayo dai kunyimwa dakika za majeruhi katika mechi ya 8/8 /2024.
Ukiangalia kupitia marudio ya television Ule mpira wa kross...
Bila ya Salamu.
Mwanasimba kindakindaki na mmoja wa viongozi waandamizi wa Tawi la Simba SC katika soko la Karume ametoa tathmini nzima ya usajili wa klabu ya Simba katika dirisha hili kubwa la...
1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi
2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure
3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere
4. GENTAMYCINE...
Ni kweli Simba SC wamejitahidi kubadili kikosi, na angalau wachezaji wameonesha utofauti kulinganisha na kikosi kilichopita.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba, hiki kikosi cha Simba SC hakiwezi...
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou wa Cameroon, amefariki dunia mjini Paris siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77.
Kulingana na Afrik-foot, kifo cha Hayatou...
habari zenu wazee wa kuweka mizigo
Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali
nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ?
nipo karibu na jengo la gal...
Simba ya miaka hii miwili ya nyuma ilisuffer kutokana na kukosa wachezaji wanaoweza mpira wa kasi. Tulikuwa na kina Chama wanaopoozesha mashambulizi, tulikuwa na kina Saido wanaopoteza mipira...
Hapo vipi!
Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.
https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/
Inawachezaji...
Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado...