Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga washukuru sana kuwa Simba ni wastaarabu. Ukiangalia idadi na nafasi nyeti walizopo watu wa Simba ndani ya Yanga, kuanzia mwekezaji/mdhamini, baadhi ya wachezaji waliokuwa na mizizi ndani...
3 Reactions
15 Replies
737 Views
Nimuombe tu Rais wa TLS mh Mwabukusi aangalie na Ubora wa Sheria za Michezo Olympic tumetia aibu Mno Mlale Unono ๐Ÿ˜€
0 Reactions
14 Replies
593 Views
Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni...
3 Reactions
23 Replies
902 Views
Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda โ€œDigalaโ€ anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Hawa jamaa kila Olympics wanazoa medali balaa. Wamepeleka wanamichezo 600+. Hadi sasa wana medali 101. China ndo inawafuatia. Hakwenda kiongozi yoyote wa serikali zaidi ya makocha wa kila mchezo...
2 Reactions
1 Replies
195 Views
Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki. Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed...
2 Reactions
63 Replies
3K Views
Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos. Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Kwani Mwijaku anasemaje Muda huu? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mwijaku tumuachie Kipanya tu wamalizane mahakamani mpaka akili zimkae sawa.
2 Reactions
7 Replies
672 Views
Na sharti walipopewa kama sehemu ya Kujaribu tena Nyota ili angalau wapone na Kipigo ni kuanza na 'Kufuli la Morogoro' Lilorogwa Msimu mzima, ila wakimpanga tu ambaye ndiyo Wanamuani 'Kufuli Mali'...
-1 Reactions
19 Replies
1K Views
Na pia kuna Sharti moja Muhimu sana leo Limekiukwa pale katika Press yao na Wakagombana katika Gari. Kudadadeki.
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
๐Ÿ”ฐ๐”๐ ๐๐„๐—๐“๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #MpumalangaCup๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ โšฝ๏ธ FC Augsburg๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช๐Ÿ†šYoung Africans SC๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ“† 20.07.2024 ๐ŸŸ Mbombela Stadium ๐Ÿ•– 15H00๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 16H00๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kikosi kinachoanza dhidi ya FC Augsburg #preseasontour #TimuYaWananchi...
35 Reactions
717 Replies
33K Views
Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Timu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili... Kulazimisha derby mapema wakati Simba wamesajili wapya Wengi na wanahitaji...
13 Reactions
31 Replies
837 Views
Kama picha inavyoonyesha hapa chini,tunatambua kwasasa Timu hizi mbili Simba na Yanga zina wadhamini wao tofauti kabisa.Simba kwasasa inadhaniwa na M-bet na Yanga inadhaniwa na Sportpesa. Kitendo...
1 Reactions
1 Replies
322 Views
Tuliotazama mechi ya Azam na Coastal Union tumejiridhisha pasi na shaka kuwa chama letu halina mashabiki,uwanja mzima mashabiki tulikuwa kama 1000 tu
4 Reactions
7 Replies
334 Views
Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza. Kwa wacheaji 12...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na...
1 Reactions
4 Replies
723 Views
Tutofautishe kati ya uchawi, dawa na sumu, Uchawi unaadhili akili TU ya mtu (psychic) lakini dawa na sumu vinaathili mwili na akili (psycho-soma). Kitu chochote kama vile maneno, paka, ndege...
2 Reactions
19 Replies
643 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ