Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia...
Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids wakisalimiana baada ya kukutana kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa kuzungumza na waandishi wa habari kuekea mechi ya nusu fainali ya Ngao ya...
Timu moja iko imara nyingine inajitafuta, naona kabisa kuna timu inaenda kudhalilishwa hiyo tar 8/08/2024,
Nawashauri Tff waifute mechi hii ili ibaki mechi kati ya Azam fc na Coastal Union fc...
"Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC...
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)
Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu...
FADLU: HAWA YANGA HAWATUZIDI CHOCHOTE.
"Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi...
Nawaza na kesho watasema Manula na Ayubu kawafungisha tena. Lengo si kuwatisha juzi niliandika goli 4 mpaka saa 10am goli zimefikia 5 ft kwahio
Na hapo kuna matatu au 5 bila, 4 moja au 3 mbili...
Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025...
Tuko vizuri na tunafuraha ya kuanza msimu mpya kwasasa tuko vizuri.
Hatuwajui sana Simba na hawajacheza mechi za wazi kama sisi. Ni kweli huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu...
Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki?
Hamissa Mobetto...
“….mpaka sasa tusubiri kuapishwa” - Mashabiki wa Yanga Kasulu Kigoma wafanya sherehe za ubingwa wa msimu ujao 2024/25 kabla ya kuanza kwa ligi yenyewe…..
…..waeleza sababu wakisema hakuna wa...
Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya...
HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA LEO
1. Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣
2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa
3. Kushindwa kumpa...
https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/hisia-zangu-uwanja-wa-mkapa-kujaa-saa-sita-mchana-siyo-sifa-4715548
Msomeni Edo, kaandika madini mazuri sana!huyu jamaa ni mzuri sana katika uandishi...
Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu.
TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya...
Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja...