Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je...
Ukiangalia Simba day na Yanga day Kwa umakini sana.
Utagundua Yanga day watu wengi sana walivaa Jezi mpya kuliko Simba day, hii inamanisha Yanga Msimu huu wamepiga Vibaya mnoo kwenye Soko la...
Sina taarifa za Marais wa nyuma kuwa walikuwa wanashabikia timu ipi, ila najua Nyerere alikuwa Yanga, Kikwete alikuwa Yanga, Magufuli na Samia ni Simba.
Ila usingewasikia wakitamka kuwa upande...
Kumbe Mzee magoma alikuwa sawa, kuna watu ndio wamejipa umiliki wa timu yetu, wanaamua vyenye wanapenda wao.
Hyu manara baada ya kufukuzwa huko Simba ndio alikuja Yanga na leo anajifanya anaijua...
For the upcoming match between Simba SC (Tanzania) and APR (Rwanda) on August 3, 2024, let's consider the current form, previous performances, and other relevant factors to make a predictive...
Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans.
Yanga fans are taken as fools . In day light
[emoji599] KUMRADHI WADAU WA SOKA..!!
Picha zote uzionazo hapa ni mali ya Tanzania na si tukio lingine zaidi ya sikukuu moja kubwa ya kimichezo nchini,
'SIKU YA MWANANCHI' inaingia kwenye rekodi...
Tulipinga wakati ule fainali ya shirikisho kupelekwa Unguja, kwa vile tulijua ule ni mwanzo wa mambo yanayokuja.
Kisoka Zanzibar ni Nchi nyingine, hakuna sababu yoyote ya Maana au ya Kijinga ya...
Asanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor
Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri...
Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili.
Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level...
Kama unajijua haufahamu soka vizuri usipoteze muda kusoma hili andiko. Tafuta kazi zingine ukafanye. Leo naandika na kumzungumzia Mzize kwa ajili ya “Watu wa mpira”
Nawasikia mtaani huko mnasema...
Kwa haya matukio ya kuambatanisha shughuli za club na maisha ya nje na binafsi ya wachezaji na watu wa ndani ya Yanga. Huu upuuzi nimeona umeletwa kwa kasi sana.
Yanga ni Club inayojengwa kwa kwa...
Ilikuwa Kabla ya Kombe la Dunia Mwaka 2002 kule Korea na Japan, pale Del Piero alipokuwa akivaa Jezi namba 10 huku Totti akiwa anavaa namba 20.
Siku moja baada ya mazoezi ya nguvu huku kila...
Huyu mzee hizi siku embu kaangalieni wapendwa sio wa kumchezea. Alimwambia kitu Ali Mamwe akafutika kabisa.
Jana kahojiwa kasema dogo kurujuan imempitia wasubiri tarehe 8 Agosti, 2024. Dah haya...
Shalom
Naona Yanga yafaa wapewe ubatizo mpya wa kutojali Muda na Ratiba,
"BANA YANGWINYO" inawafaa hawa Mautopolo
Bora ngumi tu mje kwa wingi msikimbie mawe.
Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
I just saw a goal.com South Africa posting Manara words .
Manara Ameshusha brand ya Yanga na fan base South Africa in a single post. Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa ...
HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA TAREHE 4 AUG 2024
1.Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣
2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa
3...