Waungwana Game ya Jana MancityvsChelsea was very compettive, the absence of terry meant we were to loose.
but vijana wamecheza kiume, i belive with this spirit we gonna cause some problems to the...
Pamoja na manchester city kushinda jana tunaimani kubwa na ubingwa wa EPL kwetu sisi Manu.Na itakuwa vizuri sana kama mechi ya mancity na Manu iamue bingwa.
Siku 2 zilizopita tff kupitia mzee tenga wamemzawadi sh.laki tano mwamuzi muisrael mkongo eti kwa kumudu mchezo kati ya yanga na azam.sitaki kuzungumzia kama kweli alimudu ule mchezo au lah.pia...
Soka la waafrika wazimu mtupu......
NINAVYOFAHAMU PIUS KISAMBALE NA ATHUMAN IDD 'CHUJI' NI NDUGU WA TUMBO MOJA, HUKU ATHUMANI IDD AKIWA AMEZALIWA TAKRIBANI MIAKA MIWILI KABLA YA PIUS. SWALI LA...
hivi soka letu linaelekea wapi? Mnaona jinsi tfff wanavokurupuka kwa kufanya maamuzi ya kufurahisha hadhira! Huyu j.tegete amefungiwa miezi 6. Ni kweli alistahili adhab kwa kuingia...
Mchezaji nguli wa Barcelona,Lionel Messi anaongoza kwa kipato kati ya wachezaji wote wa kandanda duniani.Hii ni kwa mujibu wa kipato cha mwaka mzima wa jana.Messi anafuatiwa na David Bekham na...
Nimefurahishwa na moyo wa wana jf kwenye tukio la mchezaji mwafrika mwenzetu mwamba
naamini kinachooendelea ni maombi yako na yangu ndio yamemfanya hata kumjua shori wake na kumtambua leo hii...
tHE MATCH BETWEEN TOTTENHAM AND BOLTON HAS BEEN ABANDONED... THIS IS NOT LOOKING GOOD AT ALL FOR A CONGOLESE/BRITISH
TETESI NI KWAMBA FABRICE MUAMBA AMEPATA ATTACK AND HE IS FIGHTING FOR HIS LIFE
Dr Sanjay Sharma revealed one or two players were due to have tests on Monday but now the whole of the squad wants to have the tests.
Sharma also stated incidents such as Muambas are uncommon...
Jamani zinahitajika jezi za wapinzani wa simba kwenye kombe la CUF, Es Setif tukawashangilie kwa nguvu zote siku hiyo,nasikia zimeanza kuuzwa mtaani.tafadhali wana jf nipeni maelekezo pa...
The Coppa Italia Dilettanti may not be the most glamorous competition in Europe it's contested by amateurs but the tie between Torres and Unione Sportiva Termoli has thrown up an unusual...
Wana JF, kombe la club bingwa ulaya lanategemewa kutua nchini mnamo machi 27 mwaka huu. kombe hili linaletwa kwa udhamini wa kinywaji cha HEINEKEN.Je ujio wa kombe hili unaweza kuwa na athari...
[COLOR=#ff0000][COLOR=#ff0000]Napenda kuwapa pongezi watangazaji wa michezo wa clouds katika kwa jinsi mnavofanya kaziyenu ya uandishi kwa masrahi na maendeleo ya timu yetu ya simba sc.nawataja...
Hivi jamani kwanini hawa tff wanafanya maamuzi kupitia vipindi vya redio clouds na clouds tv a.k.a simba tv.ukitazama vizuri kile kinachozungumzwa na clouds ndicho kinachoamliwa na tff.mfano tff...
Uhakika wa Tanzania kuvuna medali za dhahabu umekuwa mkubwa sana baada ya kujitokeza wanandondi (Boxers) wa ridhaa wenye kiwango cha hali ya juu. TOC kushirikiana na TFF wamekubaliana wachezaji wa...
Kocha wa yanga kostad papic amebwaga manyanga kuifundisha yanga.hii imetokana na uongozi wa yanga kumhoji kuhusu mahusiano yake na wachezaji kwani ilionekana anaendekeza chuki na baadhi ya...