Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. SABABU NI HIZI. 1.Mpira wa Tanzania unaendeshwa Kisiasa,kwakuwa mimi sipendi siasa hivyo rasmi nimebwaga manyanga. 2.Upendeleo wa baadhi ya Timu hasa...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
1.Simba 2.Yanga 3.Azam 4.Namungo
3 Reactions
7 Replies
410 Views
1.Arsenal 2.Man city 3.Liverpool 4.Chelsea
1 Reactions
7 Replies
338 Views
Kumekuwa na tabia inayokera sana ya wachezaji kuruhusiwa hovyo na viongozi wa timu kwenda makwao eti tu kwasababu za matatizo ya kifamilia na hili naliona sana katika klabu yangu pendwa ya Yanga...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wana JF leo nimeona tujadiliane hili liliotea wiki iliopita baada ya baadhi ya wachezaji wa team ya ARGENTINA kuimba kua 👉(kuna wachezaji wanacheza ufaransa ila wazazi wao na asipi yao ni...
3 Reactions
14 Replies
689 Views
Hivi unaukumbuka mkasa ulioitikisa Kilabu cha Inter pale walipo msajili Ronaldo de Lima maarufu huko Itaguai Nchini Brazil kwa jina Elgodo yaani Bwanyenye?! Inter walimsajili Phenomeno kwa...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi. Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza...
27 Reactions
81 Replies
4K Views
Chama kwa sasa ni 37-38, kwa umri wake ni kwamba Yanga wamempata Dakika za jioni sana pale ni msimu mmoja tu watampa thank you, sababu cha kwanza mshahara mkubwa alafu Yanga yenyewe imekamilika...
2 Reactions
17 Replies
795 Views
Klabu ya @dodomajijifootballclub imetangaza PETER MANYIKA Sr Kuwa kocha wa makipa wa timu hiyo. Chanzo: ligikuu.com Hongera sana Mexime Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC kwa kuamua Kumvuta Rafiki...
7 Reactions
7 Replies
611 Views
EDO: WATU WASIPOKUWA MAKINI WATAPIGWA TENA 5. Imagine FC Augsburg inakamia mpaka imesahau kama inacheza na Yanga badala yake wanadhani ni Bayern. Hakika hii Yanga ni lidude likubwa. Tukutane...
17 Reactions
47 Replies
3K Views
Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu . Ingawa na siasa inachangia pia ...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Nyie sinamzijua sana kejeli? Nyie si mna midomo? Nyie si mmesajili mnauhakika? Tarehe 8 . 8 ni siku kuu ya wakulima hivyo siku hiyo tutahakikisha msipoleta timu uwanjani tutawafuata huko huko...
4 Reactions
9 Replies
717 Views
Baada ya kumalizana na Simba SC, winga Aubin Kramo inadaiwa yupo hatua za mwisho kurejea Asec Mimosas ya Ivory Coast aliyokuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa Msimbazi msimu uliopita. Inadaiwa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini. Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu? Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Zambrotta alikuwa na Kadi ya Njano, hivyo Thiery Henry alitaka kutumia mwanya huo kumpandisha hasira ili apate kadi nyingine ya Njano na kutolewa nje. Mara kwa mara Henry alikuwa anapita ubavu...
0 Reactions
2 Replies
266 Views
Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona. Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka. Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha. Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Imethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August. Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja...
11 Reactions
28 Replies
1K Views
https://m.youtube.com/watch?v=1weIrkCNRgw SuperSport presenter Thabiso Tema chats to Kaizer Chiefs Marketing and Commercial Director Jessica Motaung and Young Africans President Hersi A. Said...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa Nabi ameamua kwenda kufundisha klabu ya Kaizer chief baada ya kufikiana makubaliano ya pande zote mbili. Baada ya kuifundisha Yanga kwa misimu miwili yenye mafanikio kwa ngazi ya...
2 Reactions
19 Replies
975 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…