Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba.
Yanga na Simba ili hawa...
Mamelodi Sundowns na Rhulani Mokwena walihitimisha kwa amani makubaliano ya kukomesha ajira ya Rhulani Mokwena kama Kocha Mkuu.
Sundowns inapenda kutoa shukurani zake kwa Rhulani Mokwena kwa...
Ukisikia Utapeli ndio huu! Yaani wanatuona mabwege sana!
Wameokota Bondia wanapojua wenyewe wanasema ni Msouth, nadhani Azam na hivyo vitasa vyao wamefikia kikomo
Eng Hersi Said akili nyingi
Amewahadaa mbumbumbu kaweka attention ili suala la jezi liende.
Kesi iliyoamuriwa mwaka 2022 iwe Leo ndo ihitaji maamizi.
Mbumbumbu wamegoma kustuka wapo usingizini...
Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga.
Mmoja wa viongozi wa timu hiyo...
Kwa sasa ni ngumu kuelewa kwa kua timu ya Yanga sc inapata matokeo na ndiyo maana ukihoji kitu kuhusu Yanga SC mashabiki wanona kama umetumwa au wewe ni mamluki tu upo kuichafua Yanga SC na...
Salaam watu wa soka
Baada ya timu yetu Singida Black Stars kutolewa kwenye mashindano ya CECAFA kwa kushinda mechi moja na kupoteza mechi mbili, maswali yamekuwa mengi mno.
Tulisema mapema...
Salam!
Moja kwa moja napenda kumpongeza Mzee Juma Magoma kwa ushujaa wake wa kusimama mbele ya utawala wa Farao wenye lengo la kupora hazina ya wanachama wa Yanga. Inahitaji utulize kichwa...
Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa...
Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu
Yanga hoyeeee
Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya...
Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya...
Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip...
Leo walima alizeti wamekutana na kipigo kikali sana cha magoli matstu kwa moja.
Licha ya kufanya usajiri mkubwa lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
Kocha uchebe falsafa yake mpira wa chini ule...
Kesho tarehe 20 pale Afrika ya Kusini kutakuwa na mechi kati ya Yanga na Augusbrg ya Ujerumani.
Ningependa kujua mechi inachezwa saa ngap na kuonyeshwa chaneli gani?
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea...
FARHAN:YANGA NI DARASA LA MPIRA TANZANIA AIDHA UHAMASIKE AU UCHUKIE
“Mahusiano kati ya Yanga na vilabu ndio ambayo yamewapa mualiko Afrika Kusini, mahusiano ya Yanga na mawakala ndio ambayo...