Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki...
4 Reactions
7 Replies
529 Views
Timu ya Yanga imealikwa nchini Afrika Kusini katika mashindano ya Toyota Cup na TS Galaxy. Mashindano ya TS Galaxy yatarushwa live na kituo cha matangazo cha SABC na mashindano ya Toyota cup...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Process ilienda vizuri tu kwanzia kuomba ushauri kwa wahispania hadi kwenye kuandaa katiba mpya iliyoendana na mfumo mpya wa mabadiliko, hii katiba ilipitishwa na wanachama wote wa klabu ya Yanga...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Wanayanga tupo nyuma yako, tupo nawe bega kwa bega hadi mwisho. Hersi out
12 Reactions
24 Replies
1K Views
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) Aisha Masaka amejiunga na klabu ya Brighton&Hove Albion Ya Wanawake ya pale Ligi Kuu Ya Uingereza Aisha mwenye umri wa miaka 20...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika tukio la kihistoria, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Rais wa Yanga, Injinia Hersi Saidi, kuachia ngazi kutokana na ukiukwaji wa katiba ya klabu. Je, mahakama ina mamlaka ya kutoa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hata nyaraka za Usajili walizosaini Hawa viongozi ni batili. Hii inapelekea kua hata wachezaji waliosajiliwa Kwa nyaraka za huyu bwana ni wachezaji batili. Ki msingi mechi zozote walizocheza Hawa...
2 Reactions
4 Replies
320 Views
Nawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije. Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa...
7 Reactions
78 Replies
7K Views
…Yanga ni kama kuwaweka watu sawa, ukweli ninachokiona mimi kuna kitu kikiubwa kinaenda kuwashukia timu nyungine. Kinachoenda kutokea huko kitasikitisha sana. Natamani kushauri, lakini sioni namna...
1 Reactions
1 Replies
290 Views
Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Sasa naona kabisa ule muda wa Wazee Majini FC Kupimwa Umri umekaribia na kuna Watu wataikimbia hiyo 8.08.24.
1 Reactions
0 Replies
336 Views
Simba Nguvu Moja! Tunajua hii sinema ya MAHAKAMA imetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuwapoteza maboya timu ya SIMBA ili isi FOCUS na mambo yake muhimu na vile amejua simba ya sasa inaenda ama...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu...
15 Reactions
47 Replies
2K Views
Mimi kama Mwanayanga lia lia naunga mkono hatua ya mahakama tutengua uongozi uliopo kwenye club yetu. Kwani haukuzingatia katiba yetu. Wazee wameupiga mwingi tuwapongeze, tusiwabeze, kwani...
3 Reactions
9 Replies
439 Views
jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa...
1 Reactions
5 Replies
360 Views
Katika Mchezo wa Final ya Euro 2000 Italy walipoteza Mchezo baada ya Ufaransa kusawazisha goli Maji ya Jioni na kisha kuja kufunga goli la kifo katika zile dakika 30 za Extra Time. Hii ilituumiza...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
Baada ya Hersi Said kuomba Uenyekiti kwa kudanganya umma kwamba eti kaombwa na Wazee, sasa ni dhahiri ule mpango wa gizani wa GSM kuichukua timu ya Yanga bila jasho umetimia. Hakuna cha bure ...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu kesho saa nane mchana kutakuwa na mkutano wa Yanga na wanahabari. Tusubiri watatii agizo la mahakama au watakata rufaa. Bundi katua Jangwani, ugali wa moto mboga ya moto. Pia, soma=>...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Hizi propaganda zisizo na maana zenye malengo ya kuvuruga soka la Tanzania linapaswa kupingwa na kukemewa vikali. Hakuna mzee wa Yanga mwenye akili timamu, akatoa pesa mfukoni, maana kufungua na...
2 Reactions
11 Replies
773 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…