Huyu jamaa alisajiliwa kwa kelele nyingi sana plus vifijo na nderemo, hoja yao kubwa ni kwamba yanga wanamtaka basi bila kufanya scouting wenzetu wakajibebea chapu.
Ila jinsi muda unavyosonga...
Okra magic jana "KAPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI" kifuti, ni baada ya kutaka kujaribu kugombania mpira wa juu, aliye mpiga ni mchezaji wa "KIKOSI MAALUMU CHA VALANTA ZANZIBAR"
Alipoteza fahamu...
Habari Mwana-Jukwaa La Sports.
Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana.
Ulaya kwenye Nchi zenye...
Habari wana JF,
Kwa soka amapiano lilioonekena Jana Kwa macho ya kiuchambuzi nimeona Yanga akiwa bingwa msimu huu utakaoanza mwezi wa 8, hii timu inatisha.
Yanga wana posess, Mkude anapiga basi...
Simba imebakisha mechi ngumu sana ukilinganisha na Yanga, Simba ikacheze ugenini na Namungo, imfuate Ihefu, imfuate Mtibwa, icheze na Yanga ambayo hatujaifunga tangu mwaka 2019, hatujacheza na...
Nisikilizwe Nina hoja!
Baada ya hivi karibuni kutangaza kufanya maamuzi magumu tena ya kishujaa ya kumkufukuza mke wangu hapa nyumbani na kumrudisha kwao, kutokana kuninyima uhuru wa kuishangilia...
Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa...
Ukimtoa kipa Diara moja Kati ya Makipa Bora kwa Sasa Tanzania na Africa, Kuna combination ya viungo wakabaji Simba la kati.
Namzungumzia Maestro Mudathr Yahya na Dr wa football Khalid Aucho the...
π°πππππππππ°
π ASFC
β½οΈ Young Africans SCπPolisi TZ
π 20.02.2024
π Azam Complex
π 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania
Mpira umeanza
Dakika ya 13
Goaaaaaaaal Guedeeeee
Dakika...
Moja ya viungo punda hapa nchini ni Mudathir Yahya, nimesikia azam wameachana naye, azam wamefanya kosa kubwa sana, Mudathir ni mahiri sana na ana uwezo mkubwa sana wa kuzunguka dimba la chini na...
Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi Mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya nani au ndo yale ya kina Ngushi...
Kwa Umri Alonao Mpenja ni Dhambi Kubwa Sana Kuwaongopea Watoto wa Mama Kizimkazi Kwamba Sio Simba & Yanga ni Dhambi Kubwa Kama Kuzini Mchana wa Ramadan....!!
Hadithi ya Mpenja Kuwa ni Shabiki...
Nimekuwa shabiki wa soka kwa muda mrefu sana. Kwa muda wa miaka 20 sasa. Nimeangalia mechi nyingi sana na za kutosha, zaidi ya 1000 hadi leo hii.
Toka enzi za goli la dhahabu hadi leo hii ambapo...