Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu jamaa hivi ana akili kweli? Huwa naona kama ni kilaza sana sielewi amewezaje kuwa naye anamitwa Mcha- Mbuzi.
7 Reactions
26 Replies
889 Views
Ukweli usiofichika ni kwamba Yanga na Simba zimekua kubwa na zenye nguvu kuliko mamlaka za soka nchini. Wasimamizi wa soka letu wako tayari kuzibeba hizi timu ili kuwafurahisha watu kuliko...
0 Reactions
10 Replies
704 Views
Barua hii imfikie waziri wa wizara yetu pendwa ya SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO Mh. Paramagamba Kabudi Kwanza napenda kuipongeza serikali chini ya Mh. Rais Samiah Suluhu kupitia Wizara ya michezo...
1 Reactions
16 Replies
417 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. TFF kuna nini kinaendeleaa, Nassoro Hamduni weka sawa yanayoendelea. Ushauri wangu tu achaneni kutesa watu uwanjani kama mmepanga bingwa, wapeni ubingwa Simba...
0 Reactions
1 Replies
190 Views
Mchezaji nguli mwenye asili ya Bukinabe, mume halali wa ex wa Chibu apewe Uraia ili Taifa stars utumie bila nawaza. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
247 Views
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu...
0 Reactions
2 Replies
232 Views
1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅ 2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅ 3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅ 4. KMC (Familia) ✅✅ 5. Prisons (silent ocean) ✅✅ 6. Coastal (GSM) ✅✅ 7. Mashujaa (GSM) ✅✅ 8. Singida (Familia) ✅✅ 9...
7 Reactions
54 Replies
1K Views
Huyu kaka amelaani vikali. Ameshauri watanzania kutafuta kazi nyingine hizi za mpira sio kazi kabisa. Amehojiwa na redio na amejibu hawezi sema kitu ila anaomba aeleze kidogo alishangaa redkad...
4 Reactions
17 Replies
658 Views
https://youtu.be/zpieZkvFnlE?si=35jBhPRwAJ3yx-CG Tunashukuru sana kwa kuwaburuza matapeli wa soccer.
3 Reactions
5 Replies
259 Views
Rejea somo HAPO juu Waliohudhuria TUNAOMBA picha za harusi ya Aziz ki vs mobeto h
0 Reactions
6 Replies
329 Views
Kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo hata haieleweki. Aliyeielewa anisaidie
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Kwingineko Nyota wa Simba, Ahoua na Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) wameingia kwenye kikosi bora cha CAF hata ya makundi Kombe la Shirikisho
2 Reactions
9 Replies
450 Views
Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo. Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka...
9 Reactions
107 Replies
2K Views
Vinara wa Clean Sheets Ligi Kuu ya NBC 2024/25. 1. Moussa Camara 1️⃣5️⃣ 2. Patrick Munthary 1️⃣0️⃣ 3. Djigui Diarra 0️⃣9️⃣ 4. Mohamed Mustafa 0️⃣9️⃣ 5. Yona Amosi 0️⃣8️⃣ 6. Metacha Mnata 0️⃣7️⃣ 7...
0 Reactions
5 Replies
381 Views
Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za...
2 Reactions
80 Replies
1K Views
Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Mechi imechezwa jana na mjadala ni kuhusu gemu ya jana, leo Kiemba anabadilisha mada eti hata Simba wana timu zao, timu gani imecheza na simba kukawa na mchekea? Kiemba ameibuka akidai Simba...
4 Reactions
12 Replies
519 Views
Wakati Singida ilipofungwa na KMC 2-1 wachambuzi wetu uchwara hawakumlaumu kocha wala kuhoji kwanini Singinda imefungwa na timu dhaifu sana kama KMC na wala hawakuhoji kikosi, lakini baada ya...
4 Reactions
16 Replies
426 Views
Tarehe 8 hiyo... SIMBA 3 VS YANGA 0.
0 Reactions
2 Replies
200 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…