Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ina maana hamjaona alichokifanya Aishi Manula kwenye Michuano ya AFCON?? Kwani goli tano alizofungwa na Mtani ni Mara ya kwanza kuookea kichapo Kama hicho?? NALIA NGWENA nikiulizwa ni wachezaji...
2 Reactions
10 Replies
864 Views
Saudi inashika nafasi ya 33 ya ubora wa ligi huku MLS ikishika nafasi ya 63. Kwa kifupi Mshindani wa MLS ni Ligi ya Bongo mana wamepishana na kwa nafasi moja tu. IFFHS
1 Reactions
5 Replies
468 Views
Kocha Mkuu Taifa Stars Juma Mgunda Kocha Msaidizi Taifa Stars Hemed Morocco Makocha wa Makipa Juma Kaseja Ivo Mapunda Makocha wa Mabeki Nadir Haroub 'Cannavaro' Victor Costa 'Nyumba'...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). “Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Simba ni club ya kwanza Tanzania kusajili Mchambuzi wa video(video analysis) aliyetokea nchini Zimbabwe. Kabla ya mechi ya Simba na Kaizer Chief wachambuzi wakubwa Afrika walieleza sifa kubwa ya...
1 Reactions
2 Replies
503 Views
Sio vibaya kukumbushana...!!! Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Pamoja na mapesa yanayomwaga na ligi ya saudi arabia "saud professional leugue lkn bado ligi hiyo haijawa darling league km zilivyo ligi za uropa Utakubaliana na mimi angalia ligi ya uscoch...
0 Reactions
5 Replies
784 Views
Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023. tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi...
18 Reactions
104 Replies
5K Views
Haya ni mawazo ya kimasikini na uswahili uswahili tunaodanganyana vijiweni. Hizi ndio sababu kuu mbili za aibu yetu: ■Kwanza, tuangalie utamaduni wetu wa kuweka uswahili uswahili katika kila...
2 Reactions
1 Replies
420 Views
Wakuu za asubuhi.. Nikiwa na uchovu wa kulala na mawazo makuu hasa ya kupoteza kiasi kikubwa cha fedha zangu na hata muda kupitia hii michezo ya kamari.. Nimeona niweke wazi kuwa hii michezo sio...
6 Reactions
26 Replies
7K Views
Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi...
33 Reactions
60 Replies
4K Views
ASIYE NA DHAMBI AWE WA KWANZA KURUSHA JIWE Mwaka 2004, beki wa kushoto wa Simba, Ramazan Ramazan, raia wa Burundi, aliomba klabu yake imuache huru kwa sababu amepata timu Ubelgiji. Simba kiroho...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Natoa pongezi nyingi kwa timu yetu ya Taifa kwa kazi kubwa waliyofanya. Natoa pongezi kwa wale wote waliofika Ivory Cost kuwapa joto. Natoa pongezi kwa kila mmoja wetu ambaye ni mzalendo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Angalia hapa jinsi Lionel Messi anavyoleta usumbufu uwanjani. Nini maoni yako?
2 Reactions
8 Replies
546 Views
Mchezaji wa Zamani wa Manchester City amekuja hadharani na kusema maisha ya Saudi Arabia yamekuwa ndoto za alianacha kwa wachezaji waliotoka ulaya "Tunawasiliana na wachezaji wengi hapa miongoni...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
"Tumeweka historia kwa mara ya kwanza Tanzania (Taifa Stars) kutolewa AFCON na kupata alama mbili kwani huko nyuma haikuwa hivyo," amesema Chawa Mwandamizi wa Mama aitwae Mwijaku. Chanzo: Leo...
4 Reactions
6 Replies
989 Views
Najua hatuna imani na Taifa stars Wachezaji mmoja mmoja lakini leo tutawashinda Congo kwa 1:0 na tutasonga mbele. Zambia atafungwa na Morroco 2:1 Asanteni ..................... MREJESHO Stars...
6 Reactions
79 Replies
2K Views
Leo kila Mtanzania anafaraja kwamba baada ya kujitafuta sana leo tumejipata. Siyo kwamba hatuna team ila team inayopelekwa mbele inakosewa. Kikosi cha leo kuna watu waliwaambia kuna 1.2 bilioni...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Na tayari nimeshaanza Kuusikia huu Wimbo ukianza Kuimbwa na Watangazaji kadhaa wa Redio Asubuhi hii na najua kwa sasa baada ya Bahasha za Pesa za Makusanyo za Saidia Taifa Stars kupenyezwa kwa...
6 Reactions
7 Replies
551 Views
Nashindwa kuelewa kwanini TFF na Serikali wameshindwa kupeleka hata mashabiki 50 katika hii michuano hii ya AFCON. Nchi yetu Tanzania tumezidi sana siasa na ufisadi. Katika pesa ambazo CAF...
14 Reactions
70 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…