Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki...
10 Reactions
680 Replies
28K Views
Kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Chris Hughton, ametimuliwa baada ya timu hiyo kutolewa mapema kwenye mashindano ya kugombea ubingwa wa kandanda barani Afrika (AFCON) yanayoendelea nchini Ivory...
1 Reactions
1 Replies
631 Views
Jana tajiri mudi amepost akiisifia kolo FC Baada ya ushindi wa kishindo Swali ni Je, Kwanini TIMU IKISHINDA ANAONEKANA IKIPIGWA MZIGO UNAKUWA WA MANGUNGU [emoji119]
3 Reactions
24 Replies
1K Views
-Mohamed Hussein -Simon Msuva - Kibu Denis -Mbwana Samatta -Aishi Manula -Mudathir Yahaya -Charles Mombwa (acheze kiungo wa kati) -Dickson Job -Ibrahim Bacca -Fei Toto - Haji Mnoga Waambiwe...
2 Reactions
6 Replies
516 Views
Game ya Tanzania na Zambia na game ya leo ni Ishara tosha kwamba yule kocha mgeni alikuwa ahujumu timu yetu. Angalia first 11 ya leo inavyopiga mpira wa kisasa, akina Fei Toto walikuwa wanafanya...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimekuwa nikishuhudia upotoshaji wa watangazaji na waandishi wa habari za michezo pale timu zilizoshika nafasi za chini lakini zikiwa ni chache tu zinahitajika kusonga mbele ili kuzibia mapengo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tuwaombeetu lakini mwenyeji sijui anapigaje ======== WENYEJI WA AFCON, IVORY COAST WAMEKUBALI KUPIGWA NA WAMEPIGIKA Wenyeji wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa 2023 (AFCON), Timu ya...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimefatilia vizuri mashindano ya AFCON yanayoendelea kule Ivory cost, nikagundua kama huna wachezaji ambao wako fiti kwa maana ya nguvu, utimamu wa mwili,wenye maumbo makubwa na waonajituma ni...
6 Reactions
8 Replies
873 Views
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno. Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
2 Reactions
6 Replies
913 Views
Ni saa moja sasa na dakika zake......zimesalia kuelekea mchezo Muhimu kwa timu yetu ya taifa..dhidi ya congo!!!! Tutarajie nini kutoka kwa stars??? Yapi maoni yako juu ya mchezo wa leo?? Upi...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Clautous Chama alipoingia tu, akatoa assist Zambia wakachomoa licha ya kwamba Zambia walikuwa pungufu. Huyu kijana tunaishi naye vizuri bongo lakini kaamua kutukazia sisi washikaji zake Tanzania...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Sioni wanachocheza kiuhalisia.... Hamna team hapa. Huwa nashangaa wanavyoogopwa huku kwetu. Leo Morocco tunajipigia.
0 Reactions
40 Replies
2K Views
[emoji3590][emoji1478] Maignan: "We can’t play football like this, we should stop. π–πž πœπšπ§β€™π­ 𝐚𝐜𝐜𝐞𝐩𝐭 𝐫𝐚𝐜𝐒𝐬𝐦". β€œAt the first goal kick I heard monkey chants, I didn’t say anything. Second goal kick…...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwema wakuu! Mtanisamehe kwa wale wapenzi wa Mchezaji wa Mpira aitwaye Samatta. Lakini kiukweli tangu nimjue Samatta hasa akiwa ndani ya timu yetu ya taifa sijawahi kuona miujiza na ukubwa Wake...
14 Reactions
45 Replies
2K Views
Morocco wakituinamisha tunainuka, wakituinamishia uwanja tunainuka mara pipe..... Cha kwanza. Tukafuta.... Tukaanza kusumbuana tena wakiinamishia uwanja Taifa Stars... Inainuka... Mara tena...
1 Reactions
7 Replies
442 Views
Afcon ndio hiyo imeshika kasi pale nyumbani kwa Fundi Pacome Ivory coast mpaka sasa sio haba ila bado tunamiss lile soka haswa la kiafrika soka la mashuti mazito, soka la nguvu, soka la kutumia...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Ngao ya jamii - wanaume Ngao yajamii - wanawake Mashabiki bora Afrika Ufunguzi wa kishindo AFL ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar [emoji23][emoji23][emoji23]
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…