Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City. Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2. Je Man City wafanyeje ili...
2 Reactions
66 Replies
2K Views
Tumwinbe Mungu sala ZETU ziwafikie mzifanyie kaziii NASHAURI kwa MATUKIO machafu yanayoendelea LIGI ya NBC via marefa Naomba mwakan muwaachie wenyewe wapambane na hali zaooo Hizi PESA za...
0 Reactions
5 Replies
162 Views
Leo hii ni Yanga na unaweza kuta Yanga wala hawakuhusika na upangaji wa kikosi cha Singida Big Stars bali huenda ilifanywa makusdi wapate la kusema. Kwahiyo, kama Yanga walihujumiwa ili...
0 Reactions
2 Replies
255 Views
Eti leo ni...... Leo ni Mariamu na Mam Eliza na Liz Bakari na Beka Nassor na Cholo Samwel na Sam Fatuma na Tuma Ujugu na Jugu Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha...
4 Reactions
9 Replies
550 Views
  • Redirect
Na bado tarehe 8 tunapenati yetu imehifadhiwa....hii ndo maana halisi ya UBAYA UBWELA
0 Reactions
Replies
Views
“Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Kumekuwa na malalamiko kadhaa kuhusu marefa Hakuna aliemsafi ila KUNA matukio ya AIBU AMBAYO unaweza shangaa limetoka neno baya TUNAOMBA Chama cha marefa wapen somoo maana ya mfungo na jinsi ya...
1 Reactions
8 Replies
211 Views
Mashujaa weshaonyesha ushujaa wao huko! 😂 Half time|| Mashujaa wanaongoza 1-0 Dhidi ya Pamba jiji
0 Reactions
6 Replies
381 Views
Azam hawajui hata wachezeje hapa Tanga vs Coastal union, sioni mipango yoyote ya wao kupata goli hapa, they are playing as if they have forced to play, hawa msije kusema Simba wamebebwa maana...
0 Reactions
4 Replies
309 Views
AMEANDIKA ALLY KAMWE [emoji3578][emoji3593][emoji23] "Makolo msipoteze nguvu zenu Bure...Hayo Maelekezo ya Kikosi mnachokitaka kwa Singida, Mtawapa wapange Siku mkicheza nao [emoji3]" Sent from...
2 Reactions
4 Replies
311 Views
Aliyekuwa Kocha wa Singida Big Stars, Patrick Aussems amefunguka mazito kupitia Crown FM, baada ya sakata la Yanga na Singida kupamba moto "Kuna wachezaji wamenipigia simu wamekerwa na hali...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
#nguvumoja#... UPDATES... VIKOSI VINAVYOANZA LEO. updates... DK 5' Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe. 1-0 DK 10' Game On Simba wanamiliki ball kwa kasi kali 1-0...
12 Reactions
318 Replies
12K Views
Mimi sio mtu wa kupangiwa unapaswa kufanya hiki kwa wakati gani kwasababu uliniajiri ili nifundishe sasa kwanini unipangie cha kufanya? Kwasasa nafahamu sio kocha anaendaa kikosi cha kwanza hilo...
5 Reactions
29 Replies
865 Views
Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa...
9 Reactions
118 Replies
2K Views
Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF. Shirikisho la soka barani humo limekuwa...
1 Reactions
18 Replies
947 Views
Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili Wasiojuwa...
17 Reactions
178 Replies
3K Views
Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe...
8 Reactions
74 Replies
1K Views
Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa Aziz Ki ameanza...
26 Reactions
62 Replies
2K Views
Timu yenu haifanani kabisa na mambo mnayofanya uwanjani, nyie mna wachezaji wenye quality ya kimataifa, nyie timu mkitaja kikosi tu watu hawaingizi timu uwanjani. Nyie mlitakiwa muwe mnaongoza...
4 Reactions
13 Replies
329 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…