Habari wana JF,
Hivi karibuni nimejikuta nazishabikia timu za Simba na Yanga ambao ni mahasimu wakubwa zote kwa pamoja ambacho si kitu cha kawaida hasa kutokana na ushindani mkubwa wa hizi timu...
Hawa tbc 1 tv huwa wanawatoa wapi watangazi wa hizi mechi mbavu zinaweza vunjika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu mane wa azam sports hd na mane tbc mbona hawafanani? kwamba huku...
Wakuu,
Kocha mkuu Benchika inasemekana amenyoosha rula. Rula yenyewe sio ombi ni maelekezo kwa viongozi!
Huyu anaweza kuwa kocha wa kwanza wa kigeni asiyeogopa mtu kwenye kazi yake. Aliletewa...
Akandwanao Alikanda Unga wa Ngano
Kila mtalii aliyekuja Zanzibar alikuwa na hamu ya kula chapati za maji na za kukanda kwasababu ya uwezo wa kijana Akandwanao kuyageuza maji na unga wa ngano kuwa...
Hakika PONGEZI za Dhati kabisa Ziwaendee Viongozi na Wachezaji wote wa SIMBA kukubali kufungwa na Mlandege ili kuendeleza FURAHA ya Wazanzibar kusheherekea SIKU ya MAPINDUZI .
Kitendo cha...
Wachezaji 6 wa Singida akiwemo Joash Onyango, Duke Abuya, Marou Tchakei, Bruno, Rupia, abubakary Khomein wamejiunga Ihefu dirisha dogo linalofungwa kesho, hao ni wachezaji muhimu sana how possible...
Binafsi naona tatizo kubwa la simba lipo katika no 10 mtu ambaye atasimama nyuma ya striker,ambaye atamlisha stricker,mwenye uwezo wa kupiga penetration pass,kupunguza wachezaji wa timu pinzani,na...
Match Day.
Updates...
Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza...
Mahmoud El-Gohary na Stephen Keshi ndio watu pekee ambao waliwahi kutwaa ubingwa wa AFCON wakiwa kama Wachezaji, pia kwakuwa kama Makocha.
Mahmoud El-Gohary yeye alitwaa ubingwa kama mchezaji...
Msimu ulioisha kuliibuka mashindano ya ufungaji bora kati ya predator mayele na saido ntibazonkiza kiasi Kwamba Kuna vitu vilinishangaza
_ Uwezo wa Saidoo kufunga goli 5 kwenye mechi Moja ndani...
Watanganyika nawasabahi.Majuzi kumefanyika HARAMBEE ya kukusanya Fedha kwa ajili ya Timu ya Taifa iliokwishaenda IVORY COAST kushiriki Michezo ya CAF.
Katika HARAMBEE hiyo jumla ya Sh.Bil.3.7...
TAREHE 7/01/2024
" Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya...
Huu ndio uzalendo tunaoutaka, Ukitaka kujua mtu ni Mkereketwa wa Timu ya Taifa basi Mwangalie huyu Jamaa.
Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake, Uzalendo mtupu.
Uwanjani mpira unaendelea na iran kashamtafuna ndugu yake palestina goli 2-0 mpaka sasa.
Iran alipaswa kuonesha uungwana kwa kuonesha fairness kwa ndugu zake hata ajifungishe tu goli ili wapate...
Mwenye picha ya video yake akitabainisha kuwa atakuwa huko na timu kwa mechi 2 dhidi ya Morocco na DRC na baadae kuweka nao kambi nchi ya jirani anaweza kutuwekea.
=======
Makamu Mwenyekiti wa...
•••[emoji777]|CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO
- Rais wa Shirikisho la Soka Barani Africa Dkt. Patrice Motsepe amesema inawezekana mashindano ya CAF Confederation (Kombe la Shirikisho)...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Nawakumbusha tu Makolo a.k.a Madunduka ya kwamba jamaa aliyewafunga kamoja anaitwa Akandwanaho na yeye bila ajizi ameamua kuwakanda nao!
Hivi...