Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Channels gani DSTV zinaonesha matches za AFCON 2024?
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Hawa mawinga wana uwezo mkubwa sana, nimepata taarifa kuwa wanatafutiwa sehemu pale Ihefu wakacheze kwa mkopo, hawa sio wachezaji wa kutoa kwa mkopo, hawa ni package kabisa, Simba chukueni hawa...
1 Reactions
13 Replies
911 Views
(1) Mchezo wa Simba sc vs APR hapa Kuna tukio lilinishangaza Mchezaji Onana hakuwepo hata sub, na nilimuona Jukwaani lakini mchezo ulipochezwa dakika 45 za kwanza kumalizika kwa timu bila...
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari za kazi wadau.nimeona guinea bissau, equatorial guinea na Guinea afcon nikaona si kwa ubaya wale mlandege tungewaona pale afcon wakiiiwakilisha ardhi ya zenji. Sasa wanafeli wapi??Kumbuka...
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa...
0 Reactions
6 Replies
470 Views
Ni miaka kadhaa iliyopita Baada legendary aliyekuwa msemaji na muhamasishaji Bora Africa wa Simba Haji Manara kuondoka pale msimbazi Baada ya kutoelewana na tendaji Barbara Haya ndio maneno...
1 Reactions
27 Replies
864 Views
Mhe. Tundu Lisu anapasha misuli michuano ya Afrika huko Ivory Cost. Kauli mbiu yake ni moja tu TUTARUDI NA KOMBE. Nimefurahi sana kumwona yeye na familia yake wameungana na vijana wetu. Amefanya...
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Nadhani iko wazi Kila mtu anajua kuwa timu yetu ya Simba imefika finali ya mapinduzi cup Kwa jitihada Binafsi za referee, kesho lazima tushinde dhidi ya Mlandege. So ni vyema kama timu ku...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Yalikuwa mashindano yenye heshima hivi sasa yamekua mashindano ya kihuni yakiongozwa na marefariii wahuni hatujapata kuona nchi hii. Upuuzi ulianza mechi ya mlandege kila mtu alishangaa ni kwamba...
1 Reactions
19 Replies
790 Views
Huu uwanja ni mzuri sana lakini kila nikiuangalia kwa nje ninaona haukukamilika na huenda pesa nyingi sana zilipigwa na wahuni. Kama ndivyo ulitakiwa kuwa basi waliochora ramani ni wanafunzi wa...
1 Reactions
4 Replies
460 Views
Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam Wana JF Baada yakuhitimishwa Kwa mashindano ya kombe la mapinduzi..Mimi kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Leo nawapa fact hii Kwanini Simba ya robertinho ilikuwa Bora? Mzee robertinho...
5 Reactions
25 Replies
18K Views
Boss wako akikufokea, akikunyanyasa au kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio kwa makosa ambayo unaamini hujayafanya utakaa kimya na kumvumilia kwa vile ni boss wako na yeye ndiye anayekufanya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika michuano ya kombe la mapinduzi msimu 2023/24, mechi pekee ambayo timu ya Mlandege ilishinda katika michuano hiyo ni mechi ya fainali na ikachukua kombe. Wakati upande mwingine, klabu ya...
2 Reactions
8 Replies
864 Views
Haya mashindano yamekuwa yanachezwa huku kukiwa na maelekezo maalumu, APR wamelalamika na watu wengi walikuwa mashuhuda kwa dhurma iliyotokea kwa APR. Leo tena yamekuja kujirudia dhurma kwa...
12 Reactions
61 Replies
21K Views
Mwanayanga unafurahia matokeo ukiwa wapi ? Kipi kimemponza mnyama ktk fainali ya leo???
1 Reactions
8 Replies
650 Views
Hii ni kumbukumbu, itaishi. Nadhani Simba SC guvu moja mmeshaona mnakikosi cha aina gani. mmefika kwenye penalt box za mlandege 45 times ndani ya kumi na nane and still hamna mlichozaa dah ...
7 Reactions
39 Replies
20K Views
Wakati kuna katimu kanajifanya kana "besi" la kusema mashindano ya kombe la mapinduzi hayana maana na kwamba yana gundu, Simba haikusikia kelele za vyura hao na badala yake imeyapa mashindano ya...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza nmeona timu ya Kizanzibari ikicheza soka la kikubwa kama vile Al Ahly au Raja Cassablanca. Vijana wana morali na wanajituma kweli kweli sio wanyonge hata kidogo Simba...
5 Reactions
2 Replies
447 Views
Tusichoshane jisomeeee mwenyewe. Halaf shusha Reply unamuonaje huyu mtu ana maumivu kiasi gani? Na kasema hili kwa ukweli wa asilimia ngapi?
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…