Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika watu wenye imani na matarajio makubwa na Stars basi am one of them yaan full confidence, wachezaji wetu wanajiamini, wamepata maandalizi ya kutosha sana, isitoshe wachezaji wa kimataifa...
0 Reactions
2 Replies
301 Views
Embu angalieni clip hii. Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na...
8 Reactions
39 Replies
21K Views
Mfahamu Kocha anayechukua Mshahara Mrefu kuliko wote kwenye mashindano ya Afcon Msimu huu, Djamel Belmadi wa Algeria analipwa mshahara wa Euro 208,000/= kwa mwezi sawa na milioni 570 za...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara na Kombe la ASFC, Yanga wanaweza kukumbana na rungu la kufungiwa kusajili katika madirisha matatu ya usajili ikiwa ni pamoja na kuondolewa msimu ujao kwenye michuano ya...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA. Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kamati ya waamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), imesema kuwa Mwamuzi Nasri Salum hakustahili kuipa Simba kona iliyoifanya ipate bao la kusawazisha, katika mechi ya nusu fainali...
6 Reactions
126 Replies
23K Views
Kiukweli Kipa Salim Ally anatosha kabisa kuliko kupoteza hela kwa Ayoub, ametuheshimisha sana, amewahi kucheza mechi ngumu na alifanikiwa, alidaka na Wydad mechi zote 2, amewahi kucheza na Yanga...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Maoni yangu kuhusiana na muda/ dakika zinazoongezwa baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika (additional or added minutes), maoni yamejikita kwenye ukweli na uhalisia wa jambo lenyewe kwa wale...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Niseme kweli SSC bado inasafari ndefu. Haiwezi ule mpira wa kukimbizana dakika 90 bila kuchoka, mpira wa SSC ni slow na sio mpira wa kulazimisha ushindi. Bado nina mashaka na sajili zao, huyu...
16 Reactions
96 Replies
11K Views
Kumekuwa na vijimaneno vingi juu ya Ushindi wa Simba dhidi ya Singida jana kwenye Uwanja wa Aman katika Mchezo wa Nusu fainali. Malalamiko haya yamekuja baada ya Simba kupata Kona iliyozaa Goli...
3 Reactions
13 Replies
764 Views
Umofya kwenu members! Niende moja kwa moja kwenye mada. Kufuatia tukio la jana kwenye mechi kati simba na singida fountain Gate kuna huyu mchezaji wa timu ya singida fountain Gate Waziri...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF wenzangu Mimi MENERIKI II naweka ahadi kwa timu yangu ya Taifa Stars, ikipata point 3 katika Kundi lake kila Mchezaji nitamnunulia SODA. Naomba ikiwezekana wafikishiwe hii taarifa...
2 Reactions
13 Replies
465 Views
Waswahili wanasema "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka" angalia hapa Mtoto wa mwanasoka Messi anavyolisakata kabumbu. Mateo Messi amedhihirisha kuwa Baba yake amemkuza kuja kuwa Mchezaji bora mbeleni.
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Baada ya Mlandege kupita jana na Simba kupita leo nusu fainali, sasa ndipo naelewa ni kwanini timu ya Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya. Yanga mliona mbali sana
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii mechi ya Simba ilikuwa ngumu kwa sababu ya kosa la Kennedy, kwenye mechi kama ile halafu unaamua ku-Maguire ni kitu cha ajabu. Ile wala hata sio reflection bali kutoa kabisa pasi vizuri kwa...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi.
16 Reactions
58 Replies
22K Views
Sadio Kanoute amebadilika sana, sasa hivi amezoea mazingira, namwelewa sana hasa kipindi hiki cha Benchika, lkn kuna tetesi kuwa ameachwa kumpisha Babacar Sarr, aisee kama ni kweli tumekwisha...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna wakati mtaani kulikuwa na msemo wa "Mapinduzi ya Zanzibar" kumaanisha mambo yanayotokea yasiyoeleweka au yanayochanganya kiasi cha kuvuruga akili za watu. Tumeona katika nusu fainali hii ya...
6 Reactions
11 Replies
741 Views
I have been reporting corruption cases nyingi sana za football direct to fifa. Nimenotice I can't keep it up. kuna too much information naona na miss. watu tuongezeke kureport rushwa hizi direct...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Takwimu za kipindi cha kwanza.
13 Reactions
777 Replies
45K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…