Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kimataifa unaona Simba inaubonda mwingi tofauti na mechi za ndani, ungesema mechi za ndani ingekuwa inagawa dozi kubwa kubwa lakini ni tofauti struggle ni nyingi, lakini kimataifa mechi ikipigwa...
3 Reactions
5 Replies
533 Views
Taarifa kutoka SkySports imedai kwamba Mchezaji huyo wa zamani wa Ujerumani Amefariki Dunia . Nachukua nafasi hii kuwapa pole Wafiwa wote popote walipo , Amina . --- Tributes have been paid to...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza. Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire). Tanzania tangia...
13 Reactions
50 Replies
3K Views
Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter...
4 Reactions
12 Replies
747 Views
Nilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa. Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
•••[emoji981]|ALEX NGEREZA [emoji860]"Benchikha hana tofauti kubwa na Robertinho kwenye club ya Simba kutokana na performance ya timu ilivyo mpaka sasa kwasababu hata yeye ameshindwa kuirudisha...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Simba,Yanga Ni timu kubwa ila sijawahi kusikia wanamgombania mchezaji fulani na timu Kama Al ahly, mamelodi, wydad nk.... Ukubwa uko wapi Sasa?????? Pia kwanini hatusajili waarabu huku east...
2 Reactions
4 Replies
442 Views
Da aisee bongo Raha San maan kil mtu n mchambuz wa soccer. Wachambuz wenyw mazuzu wa hatar cjui tnakwam wapi mby zaid kil mtu anasheria zake za soccer n hataki zipingwe ila sio ajab maan...
0 Reactions
4 Replies
331 Views
Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Simba SC kesho mnatoka, unless na nyie mfanye hujuma. Mbaya sana Mpira wa Africa. APR imehujumiwa magoli ya wazi kupitia offside za mchongo. Kwa tabia hii hatukuzi soka la Tanzania Bali...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Mimi kama mdau wa soka na shabiki ndaki ndaki wa Simba (makolo in prular form) natumia pale makolo wenzangu wanapofurahia ushindi wa kubebwa na refa. Tunazidi kuiharibu timu yetu .. imagine Jana...
8 Reactions
112 Replies
3K Views
Kwa wasiofahamu mchezo wa jana simba walipata ushindi wa penalti kwa faida ya vitu viwili mosi refa alikua upande wao kwa aasilimia kubwa na pia wachezaji wake wa zamani wanaotumika kama maafisa...
1 Reactions
16 Replies
985 Views
Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa. Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere...
12 Reactions
53 Replies
22K Views
Jana nimeufuatilia mtanange kati ya timu ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate kombe la Mapinduzi 2024. Uonevu wa refa dhidi ya timu ya Singida unatakiwa kukemewa kwa kiasi kikubwa. Sababu...
1 Reactions
6 Replies
761 Views
Nyie mnadai Simba imebebwa ingawa mnajua tuliwapasua kwenu kwenye NBC, ss kama Simba haina uwezo subirini mechi ya marudiano NBC mtapima wenyewe kama hatuna uwezo au vip, wajinga kabisa nyie
0 Reactions
4 Replies
274 Views
Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe. Yanga walishasema...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Football Agenda or Agenda in football?
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Ukitaka kujua hilo fungua threads zote zilizotumwa kwa muda wa mwezi mmoja tu humu katika jukwaa la michezo, utaona maandiko yanayoizungumzia Simba ni zaidi ya 80%. Ziwe post hasi au chanya...
5 Reactions
6 Replies
415 Views
Tangu mechi za ngao ya jamii hawakuonesha maajabu, lkn kwakuwa walichukua kombe (kwa penati za mazabe ya kipa wao) wakajisahau kuwa wana timu mbovu. Baada ya kuanza kwa kusuasua kwenye ligi ya...
8 Reactions
14 Replies
787 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…