Match Day
Simba Vs Singida FT FC.
Time: 20:15.
All the Best Mnyama
#nguvumoja#
Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa.
Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali...
Ninashindwa kumuelewa huyu kocha sasa hivi, mechi ilionekana kuwa ngumu tangu mwanzo, tulikuwa tunacheza na Yanga na Azam ili tufungwe kesho watuzomee bandarini, unampanga Kanoute, Sarr na Ngoma...
Huyu jamaa nimemtaza ni mchezaji mzuri mno
Ana kila kitu ambacho namba 8 anatakiwa kuwa nacho
Naona simba walijichanganya
Unamwachaje Shiboub fundi unabaki na Kahata
Jamaa ni fundi haswaa ana...
Nusu fainali ya kwanza...
Mabingwa watetezi Mlandege FC wametinga fainali ya Mapinduzi Cup baada ya kuitoa APR kwa mikwaju ya penati.
FT: Mlandege FC 0-0 APR FC (Pen: 4-2)
Stasahau siku kama ya Leo nipo meridian pale mwananyamala A nimebetia arsenal ashinde mpaka kufika half time arsenal anaongoza gori nne nailikuwa imebaki timu iyo tu Nile kitita cha million tano...
Kwa sasa pale united kuna mctonomy hyu dogo anafanya ya nick butt, kazi ya mchezaji anayetakiwa aharibu formation ya timu pinzani.
Hjulmand ni aina ya mchezaji ambaye hutakiwi kumtegemea katika...
Meddy Kagere upigaji wake wa penati ni wa kishamba sana, hajaanza kupiga penati za hovyo leo, hata alipokuwa Simba alikuwa akipiga penati kimasihara.
Ila nna wasiwasi sana pale Singida kuna...
Kocha wa APR aombe radhi
"Mapinduzi Cup ni Tournament Maalum yenye heshima kubwa hapa Afrika Mashariki na Kati.. Timu nyingi kubwa, Wachezaji wengi wakubwa wameshiriki.
Tunapaswa kuyalinda...
Nani anabisha?
Kabla ya ujio wa kocha Benchikha kutokana na performance ya Onana tuliamini (mashabiki wa Simba) kuwa dirisha hili dogo Onana Hana nafasi ya kubaki Simba
Ila toka ujio wa...
Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said kupitia kipindi cha Jahazi kinachorushwa na radio Clouds hapo jana alieleza namna klabu ya Yanga inavyojiandaa kupokea wawekezaji baada ya mabadiliko ya...
Sina tatizo hata kidogo na walioteuliwa kwenye kitu kinachoitwa Kamati ya Hamasa ya Timu ya Taifa. Naunga mkono kabisa uwepo wa kitu kinachoitwa kamati ya hamasa. Lakini siungi mkono aina ya watu...
Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana.
Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na...
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon anayeitwa Guelor kanga Kaku, anatarajiwa kukutana na kamati ya nidhamu CAF kujieleza kwanini mama yake mzazi alifariki 1986 lakini yeye alizaliwa mwaka 1990...
Tunawaheshimu sana wanajeshi wetu kutokana na nidhamu kubwa waliyonayo na waliyojengewa.
Sote tunaamini michezo ni Afya ,furaha lakini pia ni uchumi.
Uwekezaji kwenye michezo michezo licha ya...
Baada ya kumtambulisha Kiungo Mshambuliaji Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar kujiunga nao kwa mkataba wa miaka mitatu, Klabu ya Simba SC imefunguka kuhusu taarifa zinazomhusisha Kiungo wao...
Abdi Kasim babi ndio ni mmoja wa mafundi wa soka kutokea Zanzibari akibebwa na nguvu/stamina pamoja na ukali wa mashuti yake.
Abdi Kasimu amecheza Yanga kwa mafanikio makubwa na alikua kati ya...
Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani...
[emoji599] SIMBA QUEENS WAPO CHAMAZI JKT QUEENS WAPO MBWENI ...
[emoji1485] Leo Kuna Sintofahamu Kubwa Katika Mchezo Huu Wa Leo Simba Queens Vs Jkt Queens
[emoji1485] Simba Queens Wapo Chamazi...