Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kituo cha NBA Africa kilichopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu wa Marekani (NBA), kimefungua rasmi Ofisi yake nchini Kenya huko Westlands, Nairobi Kituo hicho cha kukuza Vipaji katika...
1 Reactions
11 Replies
871 Views
Kama Serikali Kuna mahala inafeli sana. Tanzania sisi tuna timu 2 Maarufu za Simba na Yanga Afrika nzima ambapo Kwa kofua hiyo ilitakiwa Serikali na TFF itumie ku lobby Ili Makao Makuu ya Taasisi...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari, Ikiwa zimebaki siku kadhaa kwa kuanza msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani yaani EPL, tumeshuhudia vilabu vyenye majina makubwa na maarufu vikifanya usajili mkubwa na mzuri...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Leo wachezaji wa Yanga hawakucheza kitimu kama mechi na mtani ya 5G, wakiendelea hivi na ubinafsi, makundi tu tutaumaliza mwendo, Wao waliamua kutumia fursa kuonesha uwezo binafsi, kwa vile...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Tulidhani hawa madeama ni underdog, angalia mpira wanaoopiga Belouizdad wanatamani mpira uishe. Yanga asiposhinda kesho kwa Mkapa basi ndoto yao itakuwa imeishia hapo. Full Time MADEAMA 2...
14 Reactions
144 Replies
10K Views
Leo ni 'Mbeya Derby'. === Ihefu wanakutana na Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC unaopigwa uwanja wa Highland Estate, Ubaruku. Fuatilia yote yanayojiri kutoka kwenye mchezo huu...
2 Reactions
10 Replies
641 Views
Naomba kufahamu yule jamaa mweusi aliyekuwa kwenye benchi la ufundi la Yanga jana ni nani? Anaitwa nani na pale benchi ni kocha wa viungo, makipa au daktari?
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Me kama mwana yanga napendekeza au kutoa ushauri kwa rais hersi kufanya sajili za wachezaji kama ifuatavyo. 1. Striker, yanga inahitaji mfungaji mwenye ubora anaeweza kumililiki mpira,kufunga na...
19 Reactions
83 Replies
5K Views
UZI WA WANANCHI KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA. Jezi ya Yanga ndio jezi ndio jezi ya vilabu iliyotumika kwenye wimbo rasmi wa AFCON 2025. Imevaliwa na zaidi ya watu wawili kwenye video ya wimbo...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Mzuka wanajamvi! Kulikuwa na haja gani ya kumtoa Doku na kumuweka Grealish? Wakati Doku tumeona kipindi cha kwanza akicheza vizuri? Pep angemuacha Doku hadi mwisho City ingeshinda na...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away. Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mzuka Wanajamvi. Ilikuwa hamna haja ya Pep kumuondoa Doku na kumuweka Grealish. Wadau hatukupendezwa ukizingatia Doku alicheza vizuri sana. Na angebaki hadi mwisho City wangechukua point zote...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimekuta misuli mingi tu imetupwa uwanja wa mkapa pale nje, sijui waliokuwa wamevaa wamerudi na ninyi majumbani kwao, mwarabu unamkali uchi kweli? Ala
11 Reactions
14 Replies
941 Views
Nimeangalia mechi zote mbili ile ya Algeria na hii hapa ya kwa mkapa dhid ya Al alhly nachelea kusema pale hamna kocha wa mbinu Mbinu pekee aliyonayo n kupress kwa kas basi na Wala hamuheshimu...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Sisay Lemma mwanariadha kutoka Ethiopia aweka muda mpya wa saa 2 dakika 1 na sekunde 48(2:01:48) Valencia Marathon 2023, baada ya kuipiku kwa sekunde tano record aliyoiweka Kelvin Kiptum mwaka...
0 Reactions
2 Replies
373 Views
Mtanzania Ramadhan Dau imebainika kuwa ni mmoja wapo wa wamiliki wa timu ya mpira ya New Castle United ya Uingereza. Gazeti lisema anajumla ya shilling billioni 100 za Kitanzania. Chanzo: Dira
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Kwa mpira wanaocheza hawa wa bostwana hawana tofauti na team nyingi hapa nchini ndogo ndogo. Hawa jamaa wanacheza 4 4 2 lkn haieleweki ni 4 4 2 ya aina gn!! Hii team itakua kweli ilitumia uchawi...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili. Mashindano...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama. Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia. Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…