Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mechi na Power Dynamo zote sare, mechi na Al Ahly zote sare, mechi na Asec sare nyie hamjashtuka tu, mshambuliaji wetu tunayetemgemea Jean Baleke ndio huyo huyo msimu uliopita alitupa furaha, Leo...
5 Reactions
7 Replies
857 Views
Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma! Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa namna kundi letu lilivyo inahitajika nguvu ya ziada aiseeh, kutoboa hapa. Kundi letu ni kama ifuatavyo: Asec 4 pts Galax 4 pts Simba 2 pts Wydad 0 pts Imebakia jumla ya michezo minne ili...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari za weekend wadau, Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba...
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Ronaldo anatamani kulia Washapigwa 3 na Al Hilal
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kurwa kachanganyikiwa, Doto ndio hajui hata pa kutokea. Wachambuzi wa mchongo wanawapa matumaini Masupu FC A.K.A misuli ammi rojo kuwa watapindua meza. Huu ni uongo, ndio kwishnei. Hesabu...
4 Reactions
11 Replies
555 Views
Sielewi kwanini makocha, mashabiki na wachambuzi hawalioni hili, Tangu apewe kiatu uchwara alichomtapeli Fistoni Mayele amekua ni mchezaji wa hovyo sana Msimbazi. Kila anapokua na mpira...
1 Reactions
6 Replies
463 Views
Enzi zile muda kama huu SSC anapoint nne. This time mambo ni tofauti. Yanga nae ni hamna namna. Mambo ya Afungwe huyu adraw huyu ni hesabu za ajabu. Yanga Hatoboi na Simba Hatoboi kwa assumption...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Matokeo yote tayari tumeyapata. Na mienendo ya timu zetu zote mbili mpaka kufikia hatua hii Tumeiona! Simba sc mnyama mkali..kagawana points ugenini Yanga sc ..wa kimataifa..naye akishabikia...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji. Mo akaona huyu ndio...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanini hii timu inayocheza na simba viwanja vyao viko so open?!!!! Hiii sio kawaida na uwanjani mashabiki wachachw
0 Reactions
13 Replies
947 Views
1/ Benchi la ufundi makini kuanzia kocha mpaka kocha msaidizi na makocha wanaoshughulika na kuweka fit miili ya wachezaji. 2/ Viongozi wa Yanga SC kuanzia Rais mpaka Makamo hatua ya kufika...
13 Reactions
68 Replies
4K Views
Huu ni ukweli Mchungu! Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi...
1 Reactions
8 Replies
633 Views
Wiki chache zilizopita nilileta uzi mmoja nikihoji kwa nini matukio katika mechi za Simba msimu iliyopita na msimu huu yamekuwa yanafanana sana na yale ya Yanga pale timu hizo zinapocheza siku...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu baadaye hatuzitaki kauli hizi humu, wanajifahamu wenyewe, ooh ball passesion tuliwakamata, ingeongezwa dk 5 tu tulikuwa tunawakalisha. Hizi kauli msizilete humu,ukipigwa umepigwa hata...
7 Reactions
28 Replies
995 Views
Al Ahly sio timu ya mchezo mchezo jamani, hadi mnaona watu wameenda Zanziba kwa mganga wao, wametoa kafara la ng'ombe, wameenda kivukoni kunywa supu ya pweza. Wameshawishiana wakae uchi mchezo wa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
The problem with Simba sports club Is that..the fans are more serious than the players Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
11 Replies
594 Views
Mpira kwa hapa Tanzania umekuwa kwa kiwango fulani ambapo vilabu vyetu vikubwa hususani vilabu viwili yaani Simba na Yanga. Kwanza tukiacha miaka ya huko nyuma nitaanzia kwenye misimu michache ya...
3 Reactions
14 Replies
937 Views
1. Simba haijawahi kucheza mchezo wowote wa kimataifa msimu huu na kushinda, kumbuka hata kufuzu walifuzu kwa goli la ugenii. 2. Sio jambo la kawaida kwa timu kama Simba kucheza mechi za...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Tangu msimu huu uanze Simba ameshacheza mechi tatu za kimataifa (vs Power dinamo na Al Ahly). Kati ya hizo, Ametoa sare zote na ameruhusu magoli katika kila mechi. Hii maana yake ni nini? Wajuvi...
14 Reactions
102 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…