Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu nimeona nianzishe huu uzi uwe kama kijiwe chetu cha kujadili na kushauriana mambo mbalimbali kama familia ya riadha. Mwenye maoni, kero, dukuduku na jambo lolote la riadha tutatumia huu uzi...
0 Reactions
2 Replies
761 Views
Wanalunyasi, Hali ya timu haihitaji maelezo mengi, ni tatizo lililojikita zaidi kwenye management kuliko level ya technical team na wachezaji. Sasa nawashauri na najua mtasoma hapa. 1) Wanachama...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Simba ya sasa inaongozwa na wahuni ambao wanatumia mtindo wa chama cha siasa kuendelea kubaki madarakani. Kwanza wametugawa ili watutawale.Baadhi ya wanachama na viongozi hasa wa Dar wanahongwa...
3 Reactions
12 Replies
690 Views
Team kutoka Kaskazini mwa Africa. Zimekuwa zikifika uhuni mwingi ili kupata matokeo changa kwenye michezo yao. Uhuni huo sio uungwana kwenye football. Lakini utashangaa jinsi CAF wanavyokaa kimya...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Ahmedi ally nakukubali sana ila kipindi hiki tunaumia sana mechi ijayo tujitahidi zaidi ya kujitahidi kwakweli #wenyenchi #simba #nguvumoja
1 Reactions
6 Replies
571 Views
Kipindi ZORAN MAKI anakataa karibia timu nzima mlimuona Kama kocha ndezi, mwoga, Hana maono nk . Kwa uelewa wangu mdogo wa mpira najua timu kubwa na Bora Yoyote duniani msingi wao wa kufikia...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Dar imeathirika na uchawa.Kila mtu chawa.Hata mashabiki wa Simba wa Dar wengi ni machawa wa viongozi wa Simba. Hawa ndio waliotuchagulia hawa viongozi. Hawa leo wanalalamika nini eti hakuna...
5 Reactions
11 Replies
990 Views
Heshima yenu wadau. Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo...
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Hilo ndio ninaloweza kusema. Tatizo hata kocha mpya haitosaidia kama itaendelea kuwa na njemba hizi hizi Ukweli wachezaji wamechoka , hata wao hawajui tena nini cha kufanya . Wame offer all that...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Heshima yenu wadau. Ni ukweli usiofichika kwamba tangu kumalizika kwa mechi ya Simba dhidi ya Yanga morali ya mashabiki na wachezaji imeshuka sana na pengine ikaendelea kushuka zaidi kwani wapo...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Ikicheza mechi ya kwanza tangu ilipokatwa pointi 10 kutokana na kukiuka kanuni za Fedha katika Premier League, Everton imeendelea kuwa na wakati mbaya kwa kuchapika magoli 3-0 kutoka kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Msimamo ulivyo baada ya mechi za kwanza kwa timu zote za Group B
4 Reactions
81 Replies
7K Views
Wakuu habari, Nasema hivi Kocha Benchika ni Mzuri,Hilo halina Ubishi,Ila wakiwchwa hawa kina Matola ndio wawe makicha wasaidizi hakuna kitu kizuri atafanya Benchika nawaambia, Uwezo wa Kina...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Wachezaji walipwe vizuri na kwa wakati; wanacheza kwa moyo na nguvu! Kama familia ima njaa, hawawezi kucheza kwa moyo
1 Reactions
7 Replies
453 Views
πŸ‘‡πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Dogo amepiga hatrick, magoli ya ufundi haswaa, so itapendeza sana ikiwa watamchezesha world cup 2026, sio wa kumuacha namba 10 huyu....
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Jana Wydad kakalishwa bao 1 nyumbani na Gwaneng Galaxy, viongozi na vyombo vya habari wamelalamika kuwa wa Bostwana hao wametumia mitishamba kuwafunga, wamedai haukuwa mchezo wa kawaida, wachezaji...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
BIN KAZUMARI: SIMBA HII IMEKUFA. Ukiwaangalia wachezaji wa Simba wanakula jibu moja kubwa kwamba HAWAKO FIT, WALA HAWAKO TAYARI Psychologically (Kisaikologia), Physically (Kimwili) Emotionally...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…