Nimecheka eti aliambiwa na Giani Infantino πππππ
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema wakati wa mchezo wa fainali ya African Football League nchini...
Dini mbalimbali zinapinga mpira wa miguu na kusema ni satanic. Mpira unahusishwa na freemasonry ambapo logo mbalimbali zimesemwa kuwa na nembo za kishetani ndani yake. Wengine wameenda mbali na...
Kuna timu yenye shughuli kuliko Yanga hapa nchini!? Kuna timu ambayo kila kitu kwao kinaweza kuwa tukio kubwa kuliko wao? Yes, hata vitu tunavyoviona kama vya kawaida na vyepesi wao huvigeuza...
Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora .
Upi mtazamo wako...
Salaam Wana jf
Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF toka jana nilikuwa naumiza kichwa kutokana na tuzo tuliyopata Watanzania ya Ushabiki Bora wa michuano ya Super League lakini nimefanikiwa kupata...
Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;
1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru
Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba...
Uyu mchezaji wa Mamelody amekuwa akinichanganya sana ni mtu wa ku shape CHARACTER SANA
Anaitwa AUBREIN MODIBA
Mwenye anajua number anayocheza ananiambia maana kuna Mda namuona kama beki kuna Mda...
Kwa mujibu wa maelezo ya mtume B mpira ni haram kwa sabab yesu hajaufatilia wala kuuzungumzia kwa namna yoyote Ile
Na hata ktk vitabu vya biblia hakuna popote ulipozungumziwa
Najua mtapinga...
Nilishangazwa kuona timu anakabidhiwa Daniel Cadena ambaye ni kocha wa makipa wakati Kuna kocha mbobevu na mwenye uzoefu mkubwa katika michuano ya ndani na kimataifa si mwingine ni kochaJuma...
Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu...
Aisee uyu bishoo wa YELLOW NATION [emoji169]
BONGANI ZUNGU anakojoa pazuri sana kama kuna mchezaji unaemjua ana mke MZURI kumzidi jamaa mpost tuone ila zungu ni [emoji119]
Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa kila timu ina changamoto zake na hakuna njia moja ya kufikia mafanikio. Hata hivyo, hapa kuna mambo kumi ambayo Simba SC wanaweza kuyafanya ili kufikia kiwango na...
Mamelod amechukua ubingwa wa AFL leo kwa kumaliza shughuli nyumbani, naamini kabisa kama ngoma ingemalizwa kule Morocco basi bila shaka Wydad angekuwa bingwa, Africa iachane na mambo ya fainali...
Pendekeza jina hapa ili ajue kuwa anatakiwa kuandaa uzi mzuri maana tukichelewa tu, akina Labani og na NALIA NGWENA hawakawii kutuletea uchawi.
Kila la heri Lunyasi
Nawapongeza sana masandawana kwenye kupoteza muda baada ya dk za nyongeza.. hawa waarabu ni wapuuzi sana na ndo tabia yao kila siku.
Mfano kipindi cha kwanza walikua wanapoteza muda kipumbavu...
Baada ya Mashindano mapya na yenye Heshima Kubwa sana Barani Afrika ya African Football League (AFL) Kumalizika leo hatimaye Mashabiki wa Simba SC wametwaa Tuzo ya Kipekee ya kuwa ndiyo Mashabiki...
Mzee kilomoni aliona mbali sana na alipinga janja janja ya mohamed dewji kipindi kile cha mabadiliko ila wana-simba wengi walimbeza na kumuona msaliti na anayekwamisha mabadiliko
Ukweli ni kwamba...
Wana-JF,
Niwakumbushe tu kuwa Infantino ni Rais wa Dunia toka 2016. Kwa miaka 7 ya Urais wake kaona mengi sana katika soka, lakini waliomchekesha ni Makolo tu.
Kama kuna Kolo anayebisha basi...
Wadau wa soka Tanzania salami kwenu.
Kwa waliofuatilia press mbili , moja ya Mo Dewji siku anaonesha Hundi ya Bilion 20 na press ya Leo ya Semaji Lao Haji Manara watakuwa wameona kitu kinaenda...