Mi nawaambia,mpira uheshimiwe.Sasa mnaingia makundi kukutana na watabe kama akina Al Ahly.Huko ndipo kipimo cha ukubwa kilipo.
Timu ipo vitani,wachezaji wazuri wote wameondoka,lakini...
Ingekuwa aibu na fedheha kama zamalek ingetolewa na hawa Arta Solar ya Djibout, lakini fulltime Zamalek 4-1 Arta Solar, agrigate 4-3.
Alianza Zamalek kuchezea kipigo cha 2-0 ugenini! Katika game...
Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara.
Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na...
Japo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.
Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa...
Mwanzoni mwa msimu hii timu ilikuwa moto, ila kwa uchezaji wao wa sasa unaonesha tayari wameshakata Pumzi.
Jumatano kwa Ihefu kipigo ni nje nje.
Tukutane Highland Estate stadium iyo jumatano...
Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana.
Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito...
Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa...
Taratibu sasa Watu wanaanza Kumsoma Kocha wenu ambaye kwa 80% anatembelea Nyota ya aliyekuwa Kocha wenu wenye Hasira na ambaye akihojiwa anachanganya Kifaransa, Kiswahili, Kindengereko na Kiingereza.
TIMU NGUMU ZILIZOFUZU CAFCL
1. MAMELOD
2. AHLY
3. WYDAD
4. ESPERENCE
..
.
. ZILIZOBAKI ZOTE ZIPO CHINI AU SAWA NA YANGA KISOKA.
YANGA ATACHEZA NUSU FAINALI MSIMU HUU.
UZI TAYARI KWA WINO MWEKUNDU
Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements.
Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi...
Hiki kipindi kimekuwa ni Cha hovyo Sana kimepoteza mvuto ni tofauti kabisa na mwanzo.
Saivi ukifungua redio usikilize walau hata upate update za mpira na uchambuzi Cha kushangaza unakutana na...
au kama vipi tuelekezeni tu hii Miguu ya Fisi na Kinyesi cha Nguruwe Pori tukavitupe wapi, kwani nasi tunataka Kufukia ya Paka na Mkojo wa Chatu Jike aliyetoka Kuzaa Jana tu Msituni Bagamoyo ili...
Ni nadra sana ukifanya vizuri kwenye hii timu kisha ukaondoka bado wanakuhitaji ukatoboa unakokwenda.Ndio maana wana jeuri ya kukutunia muda wowote unapodai haki yako.
Upo uwezekano kuwa huenda...
FIFA has sanctioned Rwanda's CAF Confederation Cup campaigners Rayon Sports from registering new expatriate players.
The directive from the world football governing body came after the club...
Ikiwa mechi ya pili ya marudiano kati ya Far Rabat na Etoil du Sahel, kocha wa zamani wa Yanga prof Nabi pamoja na mchezaji wa zamani mtukutu Morrison wana kibarua kigumu leo kufuzu michuano ya...
Nimekuwa mkosoaji mkubwa wa TFF kutokana na sababu za waamuzi na upendeleo, lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Karia amefanya na ziada kwenye mpira wetu. Amevunja rekodi nyingi...