Amesahau kazi yake. Kasahau kwamba yeye ni msemaji wa Simba. Kutwa kucha kinywa chake kinatamka Yanga. Post zake zote za Facebook na Instagram, ni Yanga tu. Iwe kwa kejeli au matusi. Iwe kwa...
Mabingwa wa Zambia power Dynamo wasema kwa hapa Tanzania hakuna timu ambayo wanaiogopa kukutana nayo kama Yanga
Ila kwakuwa wamebahatika kukutana na Simba [emoji250][emoji250] .......basi Simba...
Wakuu, mtashuhudia wenyewe mechi za ligi kwa maana ya "NBC premeir league" hazikuchezwa wiki endi yote iliyopita, sababu mie sijazipata.
Mtaona siku za kazi panakuwa na mechi mpaka mbili.
Nadhani...
Wakati Timu Moja mbovu mbovu nchini Tanzania na isiyo na Uzoefu wa Kucheza CAFCL japo ilibahatisha kufanya vyema CAFCC ikianza Kucheza Mechi zake Mbili au Nne za Hatua za Awali ambapo GENTAMIYCINE...
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili...
Kuna mafala wa upande wa pili wamegawana majukumu, kuna kundi moja liko Mafia, Morogoro na Zanzibar kuiharibia Simba jumapili ili wao jmosi wakipita watucheke na mji tuuone mchungu.
Kundi la...
Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Majaliwa tunakwenda kushinda magoli 2 bila kila mechi kwetu ni muhimu licha ya kuwa Nyumbani kwa Namungo ila tunashinda mechi ya leo.
“Uchungu wa Mwana...
Habari,
Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023.
EPL
Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT)
Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT)
Everton 1 -...
Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo:
Ronaldo's mind-boggling new salary equates to:
Monthly: $17.75m
Weekly: $4.43m
Daily: $633,928
Hourly: $24,413
Per minute: $406.88
Per second: $6.78
Kwa...
Timu ya soka ya Yanga inakwenda kuandika Historia yake ndani ya jiji la Kigali Rwanda kunako michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Iko hivi siku ya kesho Jumamosi ya tarehe 16.9.2023 wageni...
GENTAMYCINE naomba niandaliwe Program Maalum nchi nzima ya kufundisha Customer Care kwa Watoa Huduma Wote kabla ya kuanza kwa Mashindano haya na nawahakikishieni kwa Madini yangu ya Kutukuka...
Klabu ya OGC nice iliingia katika taharuki na kusitisha shughuli zake zote baada ya kiungo mkabaji Alexis Beka Beka kutishia kujiua kwa kujitupa kutoka katika daraja refu kwa madai ya kuachwa na...
"Yanga wamepata bahati ya kukutana na Vibonde tangu msimu uliopita kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani Africa na msimu huu kwenye club bingwa
MSIMU ULIOPITA
YANGA vs Mazembe alikuwa...
Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...
Kwa Umakini mkubwa nikasema nifuatilie tu nini Kinajiri pale Mwalimu Nyerere International Airport Wakati timu Pinzani kwa Simba na Yanga Wakati zinawasili. El Merrekh ya Sudani na Power Dynamo ya...