Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu mtoto mshenzi sana, ile TURN aliyoipiga kabla hajatoa Assist kwa Pacome Zizou ni ya viwango vya LALIGA, ni MATUSI amefanya pale Chamazi aisee.. Huyu mtoto anajua boli, yaani hadi dakika 90'...
22 Reactions
31 Replies
3K Views
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Mkakati wa Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao hadi kukamilika kwake utagharimu Bilioni 31 na utafanyika kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi...
7 Reactions
406 Replies
29K Views
Jamaa anafanya vitu uwanjani ambavyo havikuwahi kifanyika katika viwanja vya Kibongo. Dah. Anastahili uMVP hata kama ligi haijaisha.
16 Reactions
33 Replies
6K Views
Ni kweli hajui Kifaransa, lugha ambayo baadhi ya wachezaji wa Simba wanaongea, lakini weledi wake kwenye kusaidia mambo ya kiufundi ni mkubwa sana. Simba isipoteze muda, imrudishe Mgunda kwenye...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha. ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Meneja wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Hispania, Jorge Vilda ameshambuliwa vikali na wadau wa soka baada ya kuonekana akimshika vibaya kocha wa kike wakati wa kusheherekea ushindi wa Kombe la...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wizara ya Utamaduni na Utalii kutoka Jamhuri ya Watu wa China imeiomba Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kushirikiana katika kuandaa tamasha kubwa litakalohusisha sekta ya Utamaduni na Utalii...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Jana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia...
7 Reactions
74 Replies
5K Views
Hapa Chama alijisahau au ilikuaje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] baada ya muda akafuta Post hiyo
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimeshamuongelea mara kadhaa siku za nyuma na nisingependa kurudia saana! Kuna watu hawakunielewa kabisa nadhani jana Nabi kawaonyesha panapovuja. Kwa kifupi Aziz amebaki kuwa mchezaji wa...
20 Reactions
82 Replies
4K Views
Kipindi cha kwanza ni kama Yanga walicheza wakiwa pungufu. Aziz Ki alikuwepo uwanjani kutimiza idadi ya wachezaji 11 lakini hakuwepo kabisa mchezoni. Ieleweke kiwango kibovu alichokionyesha dhidi...
19 Reactions
61 Replies
4K Views
Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki. Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kuweka wazi kwanza, mimi ni mwanachama kindaki ndaki wa Dar Young Africans. Kadi ya uanachama namba: TZDAR03067119 Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye suala la msingi. Kwenye...
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Mpira uliochezwa ni wa singida vs prisons, matokeo yanaonyesha ni mpira wa YANGA vs Simba lakini logo zilizopo kwenye majina ya team siyo za team zenyewe. Sisi tunaamini TBC ni chombo Cha habari...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili? Sasa Phiri...
11 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa...
3 Reactions
129 Replies
6K Views
Kanuni mpya ya TFF kuzuia udhamini kwa wachezaji inakandamiza maslahi ya wachezaji. Wiki iliyopita tuliona taarifa ya maboresho ya Bodi ya Ligi Tanzania yanayozuia au kuweka marufuku kwa mchezaji...
2 Reactions
0 Replies
874 Views
Kiungo huyo wa Manchester United, Mason Mount anatarajiwa kuwa nje ya Uwanja kwa muda wa Mwezi mmoja baada ya kuumia katika mchezo uliopita dhidi ya Tottenham. Mount ambaye alisajiliwa kwa Pauni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…