Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Kama unaona wivu FISTON BINGWA JITU LA KUTISHA ZEE LA KUFAMANIA NYAVU KALALA MAYELE kuwa mfungaji bora,njooni niwagawie Asali niliyolambishwa wakati wa...
Nani mjinga asiyekua na akili kwani Nani asiyejua kuwa Kuna mpango unatengenezwa makusudi ili mchezaji wa Simba sc apate kiatu Cha ufungaji Bora?
Kocha wa Polisi Tanzania hutufai katika ligi yetu...
Baada ya Bi Mkubwa kutoa tamko kuhusu Mtoto ilibid wananchi wawasiliane fasta na Mtoto wamwambie km vp ktk zile m110 ulizoleta ongeza 40m ili itimie 150m mambo yaishe.
Jibu la dogo akawaambia...
Why Saidia Arabia
Benzema: because it's a muslim country, I'm muslim and i alyways wanted to live in a muslim country
Hawa watu wanakipaji cha unafiki
Kwamba benzema pale saudi arabia ndio...
Azam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki.
Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota Feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake...
Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa...
"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU
Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake,
Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo...
Tulidanganywa hapa na Mhamasishaji wao na Msemaji wao Nugaz pamoja nae Bumbuli kuwa Kiungo Mshambuliaji wao wanayemtukuza kuliko hata Mtume Mohammed na Yesu Kristo ( Kiimani ) aitwae Bernard...
Ndivyo ninaona ule ubwabwa wa bure wamefurahi na wamemwachia.
Hata ukimtaka mayele unaweza ukaanda biriani kabisa ukawapa na juice ya ukwaju au Pepsi bariidi.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ya...
Katika pitapita zangu, nimekutana na post ya Fiston Mayele kwenda kwa Feisal Salum akimtakia kila la kheri baada ya kusaini kuchezea Azam.
Mayele akaambatanisha video inayoonyesha assist...
NI KWELI NILIMWAMBIA JEMEDARI APIGE WAKATI RAIS WA YANGA ANAPITA?
Nilimwambia kwa sababu niliona amekaa kimya wakati ukumbi mzima unampongeza @caamil_88
Kimsingi alikosa heshima kwa Rais wa...
Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini...
Feisal: Nisaini wapi?
Boss: Hapa! Saini hapa!
Feisal: Hapa walipoandika 50,000$ per month? Yaani nisaini mkataba wa mwezi mmoja tu?
Boss: We Fei, Saini hapa chini. Hiyo 50,000$ ndo mshahara...
Kutoka Yanga official page
Amekwenda Azam Sc.
-----
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC.
Feitoto ameuzwa...
Sina maneno mengi ila tu kutoa appreciation kwa wataalam, wakongwe na wachambuzi wa soka hapa jf kama Greatest Of All Time ,Scars ,GENTAMYCIME na wengineo, sjui hasa ni nani ila nilicho na uhakika...
Yanga inao mlima wakupanda kuhakikisha inawafunga goli mbili kwa 0 USM Alger ili iweze kuibuka bingwa kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Hilo ni Jambo gumu kutokea lakini kila...