Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara! Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea...
7 Reactions
45 Replies
1K Views
Presidency ni kitu kibaya sana, inategemea namna utakavyoishughulikia la sivyo utaharibikiwa. Mabinti zako wanasubiri kuona namna utakavyolishughulikia swala la dada yao aliyepata mimba akiwa...
0 Reactions
2 Replies
109 Views
Na GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwapokeeni na kuwapa kila aina ya Ushirikiano na mtafanya vyema Kimichezo.
1 Reactions
13 Replies
451 Views
Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia...
5 Reactions
12 Replies
650 Views
Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine. Kwa mabilioni...
4 Reactions
18 Replies
555 Views
Nilitegemea kwa yale mabilioni yaliyomwagwa kwa ajili ya ukarabati wa uwanja wa Mkapa pamoja na kuufungia usitumike mpaka sasa japo pamoja na marekebisho madogo kwenye vyumba vya kubadilishia...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Baada ya kutazama mchezo wa Azam hapo jana, Binafsi sijaona mabadiliko ya maana katika uwanja wa Mkapa licha ya mabilioni yaliyomwagwa, kufungiwa kutumika mara kwa mara na muda mrefu kupita tangu...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30...
4 Reactions
12 Replies
808 Views
Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃 Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi...
11 Reactions
63 Replies
994 Views
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati...
1 Reactions
3 Replies
109 Views
Vijana Kuweni kuna matapeli wamekuja na kampun Yao ya ku bet inaitwa FIC Vijana weng wametapeliwa Kwa Sasa tena kuna Mtu katapeliwa million 500 Toka jana hao Vijana wanalia
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa...
1 Reactions
19 Replies
960 Views
  • Redirect
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Wakaguzi wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) waliukagua Uwanja wa Mkapa, wiki...
0 Reactions
Replies
Views
Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika...
4 Reactions
55 Replies
1K Views
Picha ikimuonesha mshindi Peter Nyamayo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Schiphol, Amsterdam nchini Uholanzi. Pamoja naye yupo Rajab Chingongo ambaye pia ni mshindi wa shindano la...
0 Reactions
1 Replies
84 Views
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Bila shako mko salama jf members wote, nawatakia kwaresma njema na mfungo wa Ramadhani. Ninatarajia kushiriki Kigali peace marathon ambayo hufanyika kila mwezi June kila mwaka, Kigali, Rwanda...
1 Reactions
17 Replies
221 Views
Hamna Akili nyie Mashindano haya ni ya Kukuza vipaji vya Vijana nyie mnaleta akina Kibabage, Baleke na Mzize wa nini?
0 Reactions
2 Replies
124 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…