Kupitia alichokifanya Yanga kwenye michuano hii ya CAF ni wazi wamebadilisha mindset za klabu zetu hapa Bongo kwamba Mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. Simba alitolewa Robo fainali...
Waja wa mwenyezi mungu USM Algeria, walioruzukiwa dini ss hv wametulia na familia zao wanajiandaa kwenda kuchinja ingawa sio siku ya kuchinja, ila imetokeq t bahati mbaya, lazima wamchinje t...
Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni...
Kwa kifupi sana
Rais Samia katoa Ndege kwa Mashabiki kindakindaki wa Yanga kwenda kuishangilia Yanga fainali ya CAF huko Algeria
Waliopanda hiyo Ndege sasa ni tofauti kabisa na malengo ya mh...
Jumapili baada ya yanga kupoteza nilihapa kuwa Nina uwakika yanga watarudi Na ubingwa Algeria
Baadhi ya mashabiki wa Simba walinicheka Na kunisema nimelewa wengine nimevuta bangi.
Leo Tena...
LICHA ya miaka 27 kupita, kovu la kipigo cha mabao 2-0 cha Simba dhidi ya Stella Abdijan ya Ivory Coast kwenye fainali ya CAF halijafutika kwa nyota wa Simba ambao wamefafanua tuhuma za kuuza...
Umati mkubwa Mashabiki wa Simba umejitokeza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea Wababe wa soka hapa barani Afrika.
Mashabiki wengi wa Simba ambayo imetolewa hatua ya...
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria...
Hamna kitu kibaya sasa hivi kwa waarabu Kama wakikutana na Yanga kimataifa.
Chini ya jangwa la Sahara hamna timu inaogopeka Kama Yanga.
Club Africain kapigwa za uso kwake
Monastri hataki kabisa...
helloow africa
Simba tunajua mnawivu sana mnaropoka mpaka mate yanawakauka
Ila
Ukweli usio pingika hapa leo tunaheshimisha Tanzania hapa tukishindwa nitukanwe matusi yote na ban juu
Timu ya Daresalam Young Africans imehitimisha safari yake salama na kuwa BINGWA NAMBA MBILI AFRICA, wa kombe la shirikisho.
Klabu ya Yanga, wanachama na Wapenzi wa Michezo wenye moyo wa uzalendo...
Leo nimecheki weather ya lageria
Naona mvua kubwa itaanza kunyesha Na saa 3 usiku ambazo saa yanga Na USM wataingia uwanjani
Mvua itapumzika Na saa 4 usiku ambazo ni saa ambazo yanga watakwenda...
Habari zenu..
Mpira sio uchawi wala mpira sio mdomo na maneno ya kijinga.
Bali mpira ni dakika 90..
Daima usipende kuamini utabiri wao.
Mpira unadunda.
Walitabiri mengi sana.
Mara itakuwa aibu...
Yanga imefikia levo za CAF, kwenye level hizo hakuna timu za ajabu ajabu, kwenye levo za CAF hakuna wachezaji wanaosita sita kupiga pasi na anapoamua kupiga pasi anapoteza, kwenye levo za CAF...
Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club.
Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe...
Yanga hongereni sana tena sana, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na timu yeyote afrika kushinda mechi zaidi ya tano away?
Big up sanaaa
Nb
Nyumbani kuna wanga na wachawi
Salaam wakuu.
Bila kuchelewesha muda kama mnavyofahamu safari ya chizi huwa ndefu lakini akirudi anarudi na makopo na takataka nyinginezo.
Nadhani wote tumeshuhudia jana hawa mbwa wa luc eymael...