Iko hivi, Feisal Salum na Wakili wake wakiwemo wanaomdanganya wanafahamu kabisa huko CAS hawezi kushinda kwasababu mara nyingi CAS wao hupitia sana sana hukumu iliyotolewa na shirikisho la mpira...
Shida Kuu Simba Sports Club
1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae
2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni...
Kamati ya Sheria na Nidhamu ya Young Africans imemuelekeza Feisal kuwasilisha utetezi wake juu ya tuhuma zinazomkabili ndani ya siku 7.
Pia Kamati imemuelekeza kuhudhuria Kikao cha Kamati ya...
Mwenyekiti wa bodi ya Simba Salim Abdallah Try Again amesema Cesar Lobi Manzoki alisaini mkataba wa awali Simba (Pre contract) lakini baada ya kusaini mkataba na klabu ya hiyo, Manzoki alipata ofa...
Imekuwa ni kawaida kwa washabiki na wapenzi wa Simba kutoyakubali mafanikio ya Yanga na kubeza jitihada zao. Imefikia kiasi ambacho timu zote zilizofungwa na Yanga kwenye mashindano ya shirikisho...
Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili.
1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa.
2...
Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga...
Baada ya Arsenal kuchezea kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya Nottingham forest ni rasmi ubingwa wa ligi kuu uingereza msimu wa 2022/2023 unakwenda kwa manchester city ambaye anajumla ya point...
Na John Walter-Mbulu
Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo...
Aisee kwa hali ilivyo, hawa Yanga ni wazi watachukua Kombe la Shirikisho Africa mbele ya USM Alger Mwarabu mbovu kuliko hata wale Monastir. Kwa niliyoyaona kwenye Nusu Fainali wakipata ushindi wa...
Kabla ya Yanga kwenda South Africa, nilishauri Rais atoe ndege ipeleke washangiliaji badala ya tuzo ya 10 ml.
Leo Rais ameridhia kutoa ndege kupeleka washabiki Algeria kwenye mchuano wa marudiano...
Ligi ya diwani!
Ligi ya mbunge!
Uzinduzi unaendelea....
Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira...
Salaaam Wana JF
Baada ya kila upande wa wachambuzi na mashabiki wa mpira kuchambua ubora wa wachezaji hawa king Mayele vs king Phili katika kufumania nyavu leo nimekuletea takwimu zao za msimu...
Nimekutana na video hizi kwenye mtandao wa Facebook, mmoja kati ya wachambunzi wa mpira huko Algeria alikuwa amepost kuongelea Yanga.
Kuna habari zimenifurahisha na kunihuzunisha. Zilizo ni...
Nsikuchoshe na usinchoshe,tusichoshane!.
Maswali yanayohitaji majibu kutoka Kwenu Makolo a.k.a Madunduka.
1. Je, kwa Mkapa anatoka Mtu au hatoki mtu?
2. Je,Robetinho anafaa au hafai?
3. Je...
Kuhusu kuchukua vikombe n.k hayo ni ya kimpira zaidi ila Simba SC ilikua Bora mno, hili pia limethibitishwa na nominees za NBC premium league kama nilivyoziorodhesha hapo chini.
Bodi ya ligi na...
Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA.
Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza...
AFCON BID 2027 (IPO NAMNA HII).
Tanzania, Kenya na Uganda zimeungana kwa lengo la pamoja la kuandaa michuano ya Mataifa ya Afrika 2027. Afrika haijawai kuwa na maandalizi ya pamoja huko nyuma...