Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa...
Wakuu habari,
Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM...
1.Simba SC vs StellenBosch
2.RSB Berkane vs Asec
3.USM Alger vs Al Masr
4.Zamalek vs CS Constantine.
My Take
Tunza huu Uzi.
https://www.instagram.com/p/DFCJeDiMN_I/?igsh=aWtjdHdob200dTUy
Kwa kuwa Yanga wanayaona mashindano ya shirikisho ni madogo Sana kwao, Kwa Sasa kama pointi Yanga walizopata kwa kuingia fainali ya Kombe la shirikisho Afrika zikitolewa, Yanga itabakiwa na point...
Viongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?
Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic, najua humu kuna watu washawahi kuishi au kufatilia any news kutoka South Africa.
Nimeshangazwa na baadhi ya waafrika kusini kumtambua...
Maisha yanaenda kasi sana.
Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM.
Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka...
Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka
Nimeanza...
Bodi ya ligi imepanga maboresho ya ratiba ya ligi kuu NBC, huku ikiipa Derby ya Kariakoo tarehe 8 March
Simba pia atarudiana na Azam tarehe 24 March katika Mzizima derby, huku Yanga wakirudiana...
Najua tokea urejee katika Ziara zako nchi za Nje na kuwa Huru kutoka katika Adhabu yako na TFF ila kwa sasa umekuwa Ukiilaumu mno Yanga SC na hasa Kumlaumu Swahiba wako Rais wa Yanga SC Injinia...
Tukiachana na kombe la shirikisho ambalo ndio Yanga wamewahi kupata mafanikio makubwa ya kufungwa fainali klabu hii ya Yanga haijawahi kuwa na mafanikio wala ubora wowote ule kimataifa
Yanga...
Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa...