Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 -...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli. Tunahitaji kuwa na...
5 Reactions
15 Replies
838 Views
Simba tengenezeni timu timu ni ya kuunga unga Sana na wazee ni wengi kwenye timu Haya mambo ya tumetolewa kiume ni utoto jengeni timu ya kushindana haswa mlitakiwa kupata goli ugenini kuua game...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni ...
4 Reactions
17 Replies
871 Views
Hawa ndugu zetu Huwa lazima watafute mtu wa kumuangushia jumba bovu, Yaani Huwa wakifungwa lazima watafute mchawi wao. Kamera ya bibi yangu imenionesha leo baada ya mechi babu Onyango ndio...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama Simba Sc itafuzu kwenda nusu Fainali hapo Ijumaa basi mimi kwa utashi wangu mwenyewe nitaenda mitaa ya msimbazi kukabidhi kadi yangu ya YANGA (klabu yangu pendwa)na kuchukua rasmi kadi ya...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Uzi kichwa kinajitosheleza, kwa matokeo yeyote yale ya suluhu pacha ama bila bila ama kushindwa kwa tofauti ya goal moja. Niko pale.
2 Reactions
13 Replies
473 Views
Kama ni kombe la robo fainali mmeshatuletea, sasa tungoje wananchi watuheshimishe.
0 Reactions
11 Replies
461 Views
Habari zenu.. Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo.. Wydad 1-simba 1... Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu.. Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Kwa msimu wa pili mfululizo Simba wanatolewa kwa changamoto ya mikwaju ya penati katika hatua ya Robo Final kwenye mashindano ya CAF. Nyakati kama hizi ndio unakumbuka kipindi ambacho Juma K...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Yanga kwa maana ya viongozi na wachezaji, Ushindi wenu na dhidi ya Rivers United kule Nigeria ni chachu tu kuelekea safari amnayo bado ni mdefu pamoja na kuonekana kama safari iliyobaki hatua...
1 Reactions
7 Replies
474 Views
Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli...
1 Reactions
6 Replies
547 Views
Amini amini nawaambieni yeye simba hata angekutana na ruvu shooting kwenye hatua ya robo final Club bingwa au caf federection Simba wangetolewa tu Any way tumekufa kiume [emoji1787][emoji28][emoji23]
0 Reactions
3 Replies
642 Views
Hamjambo wote.. Tangu mwaka 1998 umri wa mtu mzima mwenye familia yake klabu ya Yanga haikufika hatua ya makundi kwenye michuano ya Afrika. Bila aibu ndo wao wanapiga kelele eti Simba wanaishia...
2 Reactions
5 Replies
423 Views
Ukweli huu mchungu ni Kama mwiba wa samaki ulionasa kwenye koromeo, unauma sana kila uanpomeza mate au maji. Ndiyo lakini lazima tuuseme ili kuleta maendeleo (improvements) ya mpira wetu katika...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Simba kuishia robo ndiyo malengo yao, hakuna wa kushangaa kwa hicho walicho kivuna nafikiri hata kwenye maandalizi yao na benchi la ufundi ndiyo hicho. Hakuna sababu ya kumpa pongezi mtoto ambaye...
13 Reactions
86 Replies
2K Views
Soka la bongo halitaendelea kamwe kwasababu ya ubovu wake kuanzia kwny timu zake unafiku uzandiki ushamba Hivi hizi simba na yanga n timu za Kenya na Tanzania au? maana ushabiki unazidi Sasa si...
2 Reactions
14 Replies
705 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…