GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga.....
1. Kujiamini mno Uwanjani
2. Uwezo...
Inadaiwa mshambuliaji Mason Greenwood ameitoa kauli hilo kwa marafiki zake Kutokana na kutofurahishwa na kuendelea kuwekwa nje wakati anataka kucheza.
Greenwood (21) alikuwa akikabiliwa na...
Siku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika
Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
Msishangae wataalam
Inasemekana Goalkeeper mahiri wa Simba SC anao uwezo mkubwa kutumia miguu yake kudaka mipira.Sababu hii inapelekea kuruka upande wa kushoto tofauti na uelekeo wa mpira ili...
1. Sina cha kuwalaumu Simba katika mazingira yale kwenda kwenye hatua ya upigaji wa mikwaju ya penati sio kazi ndogo. Well done Simba. Wapewe maua yao
2. Simba inahitaji marekebisho ya kiusajili...
Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.
Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale...
Nikikumbuka tulijaribu kwenda caf federection cup nako pia tukaishia hapa hapa
Naomba mniache nilie tu msinibembeleze
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787]
Hata angekuwa wewe kweli tayari...
Wakuu,
Hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza?
Sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo...
Wachambuzi wa mpira (mashabiki) hawataki kuweka wazi kuwa simba hawezi kutok mbele ya wydad.
Inatumika nguvu kubwa ya kuwadanganya mashabiki wa Simba lakini wanasahau kuwa simba imezidiwa kila...
Mfa maji haishi kutapatapa, wahenga walishasema
Baada ya Simba kufika hatua ya robo fainali ambapo tunajua kwamba hapo ndipo uwezo wao ulipoishia kwa misimu kadha.
Sasa wameona kuendelea nusu...
Huwezi kuwaweka sawa watu wanaoshiriki na wanaoshindana.
Mwambieni ukweli utofauti uliopo kati ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho.
Mambieni waziwazi kuwa hawa wanaoshiriki Kombe la...
Baada ya kupangwa kwa droo ya robo fainali ya klabu bingwa Wydad dhidi ya Simba, kila mmoja aligeuka mtabiri wa mabaya kwa Simba kwa kuona kuwa watayaoga magoli mengi. Lakini ukiangalia reference...
Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo...
Kwa kikosi dhaifu kilichojaribu kujitutumua mbele raja Casablanca kilipigwa nje ndani kwa jumla ya magoli sita kwa moja. Kila nikimtazama beki onyango na inonga naona kabisa ni ukuta mbovu...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini huyu dogo anafanya vyema sana akiwa anacheza na timu za mikoani? Hivi kwanini akiwa nje ya Lupaso hana maajabu sana?
Ushawahi kujiuliza kwanini ameshindwa kuperfom...
habari zenu ndugu zangu wanasimba kwanza nichukue fursa hii kuwapongeza kwa pambano la kibabe kabisa, tunakubali mpira unamatokeo matatu na ayo tumeyapokea.
Hongereni wachezaji mmejitoa kwa...
Wachezaji wa simba huwa wanakutana hotelini kwani jengo halijulikani na jengo tunaloonyeshwa wamejaa wamachinga ,Mashabiki wa simba pia hawana sehemu ya kukutana na wala jengo wanalohisi ni lao...
Kwenu wana bodi hili liwe jukwaa kwa wacheza roullete,slots,black jack n.k tupeane story.
Kimsingi mimi ni mhanga wa cassino na mchezo wangu mkuu ni roullete,hua nacheza cassino za hapa...
Amini usiamini uwepo WA kibunD unamvhngi karibia 30% ya performance ya timu nzima ya Simba.
Jamaa anajua kuforce kingi Hadi manejo wanabakia kunywa maji mda wote Huyu jamaa ni Hatari mabeki...
Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba na wachambuzi wakiipongeza simba kuwa pamoja na kutolewa na whydad lakini wamejitahidi.
Ikumbukwe kwenye hatua ya robo fainali akunaga cha kujtahidi...