Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Rais wa klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia Bw. Al Muammar amesema anajuta sana kumsajili mshambuliaji Cristiano Ronaldo na anasema kumnunua mchezaji huyo ni moja kati ya matukio mawili ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hebu tuweke unafiki pembeni, hii game Simba atachapika goli za kutosha si chini ya goli 6+ Wanasimba wote popote walipo wanatetemeka sana maana kila wakiangalia rekodi ya Wydad nyumbani kwao pale...
6 Reactions
54 Replies
3K Views
Baada ya Kumsoma vyema Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nimegundua kuwa Kocha Mwerevu ( Genius ) sana. Kiufundi hakutaka Kumuingiza Kipa Beno Kakolanya aliyekuwa Nje ( Sub ) kama ambavyo...
2 Reactions
2 Replies
821 Views
Afrika kuna tatizo kubwa sana la kudanganya umri,Mtu kijeba mishipa imemtoka eti ana miaka 24 kazaliwa mwaka 1998 Huyo nahisi lengo lake ni kwenda ulaya hivyo wanashusha umri makusudi Nchi za...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Yanga wasidhani kazi imekwisha, wanaohitaji Umakini wa Hali ya juu Kushinda mchezo ujao dhidi ya rivers, Kama wataleta mzaha wataambulia kichapo nyumbani na kutupwa nje ya mashindano
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wakuu. Leo nimpe somo Ahmed Ally. Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba. Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa. Nimejaribu...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Mambo yalianza hivihivi 😄
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Mchungaji Komando Mashimo amemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Mashimo amesema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya simba na yanga lakini...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu jamaa anayejiita Mchungaji Mashimo amesababisha hasara baada ya wadau wengi wa Uswahili kucheza kamari wakiamini kwamba maneno yake yana ukweli wowote . Huyu anapaswa kukamatwa na kuhojiiwa...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Inamaana mkataba na VS umeisha mpaka wanavaa bips za mazoez zenye nembo ya umbro
0 Reactions
12 Replies
979 Views
Aisee, hawa Makolo kwanini wakishinda fujo ni nyingi town but young africans hatunaga huo ushamba,, yaani tunafanya slow but sure 🤣🤣 sisi ndio vidume sasa Narudia tena SISI NDIO VIDUME
3 Reactions
18 Replies
698 Views
" Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah" Ally kamwe via TBC FM
5 Reactions
115 Replies
4K Views
Dhihaka zilikuwa nyingi dhidi ya Denis Kibu ila katika wachezaji ambao wamekuwa wanacheza kwa kiwango kikubwa kwa miezi minne na zaidi Kibu ni mmoja wao. Najivunia kuwa mmoja wa watu ambao...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Jinsi kuhesabu namba kiarabu[emoji39][emoji3][emoji1787] واحد wahed. one. اثنين ethnein. two. ثلاثة thalatha. three. أربعة arba-a. four. خمسة khamsa. five. ستة sitta. six. سبعة sab-a. seven...
6 Reactions
16 Replies
598 Views
Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza. Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa mechi ya kwanza pale Lupaso, Simba akashinda 1-0, bonge la mtaji na kuifanya timu ijiamini kwenye mechi ya marudiano. Kocha nimemwelewa namwamini.
10 Reactions
79 Replies
5K Views
Huu sio utabiri bali ni hisia zilizonitokea dakika kama moja iliyopita Matuta yanaweza kuhusika. Tusubiri, dakika 90 ndio msema kweli.
0 Reactions
3 Replies
410 Views
Pamoja na utani wetu wa jadi, bado mchezo wa leo una maana kubwa sana kwa nchi na hasa kwa maisha ya wachezaji wenyewe wa Simba wanaovuja jasho. Kwa mantiki hiyo, nawatakia kheri.
3 Reactions
9 Replies
538 Views
Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au? Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni saikolojia ndogo tu! Kuufanya uwanja wa ugenini katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa, na kuwaona washangiliaji wa timu ya Wydad kama kikundi cha Kidedea!! Wakifanikiwa hao Simba watajiona...
6 Reactions
9 Replies
622 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…