Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwenye Kurasa zenu mmeweka Saa 4 Kamili, Mratibu wa Simba SC Abbas Ally jana katika Mahojiano na Vyombo vya Habari vya Tanzania kasema ni Saa 3 na siyo Saa 4 kama ilivyotangazwa awali, Leo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Simba mkubwa Mechi zote za EPL, Spanish PL, Portuguese PL, Bundesliga, Serie A etc zote zipo kwenye makampuni karibu yote ya kubetia Tena mpaka mechi za mwezi August zipo Why not ya Mnyama...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
16 Reactions
86 Replies
7K Views
Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, Bondia Mtanzania, Ibrahim Najum, amefariki dunia leo Aprili 27, 2023 baada ya kukaa hospitali kwa takribani siku tatu akipatiwa matibabu. Bondia huyo Aprili...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Tuliaminishwa na wachambuzi kuwa Simba imelamba dume Kwa kusajili mchezaji wa timu ya taifa ya Ghana iliyokuwa inajiandaa na kombe la dunia na ikasemekana atajumuishwa kwenye kosi la Black Stars...
2 Reactions
13 Replies
872 Views
Neno Pele limeingizwa katika kamusi ya Michaelis ya kireno. Neno hilo limetafsiriwa kama ifuatavyo: "Kitu au mtu ambaye siyo wa kawaida, kitu au mtu ambaye kwa mujibu wa ubora, thamani au ubora...
1 Reactions
4 Replies
556 Views
Kuna Viongozi wa Simba wanamsumbua Simon Msuva, huku muda mwingi wa mapumziko anapotoka mazoezi wakimpigia simu na kumdadisi awaambie baadhi ya mambo yanayowahusu wydad, tukumbuke kuwa Msuva...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nawapongeza Simba kwa kwenda mapema huko Casablanca kuzoea hali ya hewa hasa ya majira ya jioni ila faida hiyo ya kwenda mapema ina hasara zake. Ningeweza kupendekeza mazoezi yangefanyikia hata...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Hi, Anayebisha kuwa Simba haitaingia nusu fainali leo bali itangia nusu kaputi aje. Aweke andazi Mimi naweka laki moja
2 Reactions
9 Replies
523 Views
Mwanzoni Ronaldo alipojiunga na timu ya Al-Nassr huko Saudi Arabia niliona future kubwa kwake na kwa timu yake kwani aliingia na impact kubwa sana kwa timu hiyo. Alitupia mabao almost kwenye kila...
0 Reactions
4 Replies
569 Views
Al Ahly amewahi kuchukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho mara moja tu tena miaka 9 iliyopita Wydad Casablanca hajawaji kuchukua Ubingwa wa Shirikisho hata group Stage hajawahi kucheza Mamelod...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Ni majina mangapi ya utani ya klabu ya Yanga umeshawahi kuyasikia maishani mwako? Kama wanavyosema wahenga, ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi. Basi kwa ukongwe wa Yanga ni lazima...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23] Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out?? Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo. Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo. Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata...
2 Reactions
15 Replies
945 Views
Simba wana nafasi kubwa leo ya kufuzu nusu final Ninawaombea Mungu awasaidie kufuzu nusu final leo Ila kinacho nipa stress na kicheko ni hiki hapa -4 =-1-1? (-x-)...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Hawa Mikia wamekuwa na kiherehere sana cha kuwahi kuanzisha nyuzi za live updates hata mechi zisizowahusu. Wanakaa kusubiria saa 6 usiku kuamkia siku ya mechi wanaanzisha Uzi. Sasa nawauliza je...
17 Reactions
113 Replies
3K Views
Yaani huwaoni kabisa humu jf, sijui wamepatwa na jambo gani? Huko mitaani ndio kabisaa hawataki hata kujua kama Kuna mechi ya marudiano. Mpira ni furaha ila kwao umegeuka ni mateso. Wanaomba iyo...
3 Reactions
12 Replies
591 Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepokea maombi kutoka nchi sita zinazowania uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 ikiwemo Tanzania. Jumla ya waombaji sita wamefanikiwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…