"MASHABIKI WA SIMBA MSIKUBALI KUINGIZWA KWENYE MAPRESHA YASIYO NA SABABU.
Mafanikio ya mpira huwa ni process vinginevyo labda iwe fluku.
Kwenye mpira fluku ipo. Ligi ya Uingereza Leicester...
I salute you kinsmen.
Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga
Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,
Simba watakandwa 3-1
Goli moja la penati...
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi...
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Ahmed Ally leo January 20,2025 ameamua kulipamba gari lake msimamo wa Kundi A alilotoka Yanga
SC Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na lengo la...
Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome...
Vua maski kaka tushakujua wew ni Joshua Mutale Elie Mpanzu kabaki kongo [emoji28][emoji28]
Jamaa alikuja Kwa mbwembe ...Hadi BBC walimpost. .makolo waliimba jina lake kama hawana akili.....but...
[emoji599] ππ π πππππ:
Top ππ CAF club rankings before the start of the 2023/24 CAF Champions League and Confederation Cup group stage games:
1. Al Ahly [emoji1093] β 83 points.
2. Wydad AC...
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama...
Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri...
Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu.
Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa...
Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.
Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.
Msimu huu tujiandae...
Chama bado Ana uwezo na kipaji kikubwa tu, Simba ilimleta nchini akiwa mchezaji wa kawaida sana, ufundi wake uwanjani ukaipa sana heshima timu yetu, Chama alikaa mioyoni mwetu sana wana Simba...
Kuna muda GENTAMYCINE japo najulikana na sifichi kuwa Mimi ni mwana Simba SC kwa 100% huwa naweka pembeni Utani wangu kwa Yanga FC na kuwa Mkweli na Mwanamichezo ila wana Yanga FC Walioanza...
Wakuu,
Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na...