Nathibitisha kwamba nimeanza taratibu za kisheria kutafuta haki ya Kikatiba kuhusiana na utata wa vigezo vya John Gilbert Bayo kuendelea kuhodhi nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha...
Naaam, mwamba atabaki kuwa mwamba tu, na so mwingine namuongelea fiston kalala mayele aka the robot aka the goal mashine.
Hakuna kocha au timu Tanzania asiyetaka huduma ya mayele au striker Kama...
Nataka kujua hivi simba wamewahi kukutana na huu moto wa jezi nyeusi ya yanga?
Kama juma pili ndo itakuwa mara yao ya kwanza basi acha ni fumbe macho yangu alafu niandike RIP simba
Naona comments nyingi za kupeana moyo ; tena kutoka kwa waandishi wa habari wakubwa.
Watu wanaandika magazeti na story za half lela ulela . Hii yote ni kwa sababu tunajua kuwa tuna poor...
Nawauluza nyie mashabiki oya oya wa Utopolo. Mnyama aliwahi kuwafumua marinda kwa goli 4, 5,Hadi Kuna mechi mliwahi kuchanwa 6 mlipokea shilingi ngapi kuuza mechi?
Ktk ligi tofauti ya magoli ya...
Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda.
Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani...
Wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika mashindano ya shule za Sekondari Afrika "Fountain Gate Dodoma High School" wamefanikiwa kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya timu ya...
Tukiwa tunausubiri derby kubwa hapa East Africa acha tujikumbushe Kwa kuipitia baadhi ya takwimu zilizopo tangu mwaka 1965
Simba. Yanga
106. Played. 106
31. Won...
Naam, kambumbu itapigwa pale Mbalali kwenye Uwanja wa Mpunga, Ihefu akimualika Simba SC.
NALIA NGWENA the big thinker natabili kadi za njano zakutosha na ikiwezekana kadi nyekundu inaweza kutokea...
Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema.
Baleke ukitaka nyota yako ing'ae...
Sina muda wakutoa salamu Wala kuwajulia hali, kutokana na namna gani nilivyochafukwa kwa kuona mtani akisimangwa waziwazi na kanjibahi Mo dewji.
Wiki imekua ngumu sana kwa wanasimba kutokana na...
Haiwezekani Mchezaji wetu Yanga SC Kennedy Musonda tuliyemsajili kwa Mbwembwe zote huku tukiwacheka Simba SC kwa Kumsajili Mchezaji tuliyeona ni Garasa (Kapi) Jean Baleke hafungi na...
Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe...
Dar es Salaam. Kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa la kuchelewa kumlipa madai...
Hakika ni Jambo la kushangaza sana katika huu mpira wet wakibongo bongo
Feisal salumu ameikataa yanga, nakupotelea kusikojulikana akidai kuwa yanga haimlipi vizuri .
Hakuishia hapo feisali salumu...
Hivi zishafika bandarini au ilikua danganya toto tuliambiwa viwanja kumi watavikarabati na kuviweka nyasi bandia je hela hakuna au ndio uongo wa kila siku.
Nimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili.
Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo...