Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ktk uwanja ule ule Simba anapata matokeo dhidi ya wababe wa wababe wa Yanga (MC Algiers). Hongera sana Mangungu Hersi Said ana cha kujifunza.
4 Reactions
22 Replies
643 Views
Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na...
1 Reactions
12 Replies
245 Views
Tumewaona utopolo katika basi Lao wametanguliza wachezaji 4 t, wengine wamepanda mabasi mengine, TFF nasubiria tamko lenu, wanasema hawarogi nn hii
2 Reactions
6 Replies
586 Views
Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi. Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko...
2 Reactions
17 Replies
877 Views
Vaibu la mashabiki wa Simba Mwembeyanga, Ahmed Ally achizika wakimkanda CS Constantine bao 2-0 na kuongoza kundi A kwa kufikisha alama 13. Soma, Pia: FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine |...
4 Reactions
15 Replies
997 Views
Ewe mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, mwenye majina tisini na Tisa, ulisema niombeni nitawapa, sisi tunakuomba utujaalie ushindi leo uwanja wa Taifa dhidi rangi ya mitume. Sisi sio wale...
4 Reactions
10 Replies
358 Views
Bado game nne timu ya mkiani inaweza kuchukua kombe na inayoongoza kushuka daraja, point 11 zinatenga timu ya kwanza na ya mwisho ...... The Algerian Premier League title race is ridiculously...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Manchester United imemfuta kazi kocha Erik ten Hag kufuatia mwanzo mbaya wa msimu wa 2024/25. Klabu hiyo, maarufu kama The Red Devils, ipo nafasi ya 14 katika msimamo wa Ligi Kuu ya England baada...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Lionel Messi amefunga goli kuanzia mwaka: 2005 2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012 2013 2014 2015 2016 2017 2018 2019 2020 2021 2022 2023 2024 2025 MBUZI 🐐 🇦🇷
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Timu ya Yanga Wakereketwa ya huko Wilaya ya Sengerema imefanikiwa kuingia robo fainali ya Kafulila Cup baada ya kuifunga timu ya MC Gara B FC goli 4-0. Pichani, wachezaji wa Yanga wakishangilia...
6 Reactions
26 Replies
761 Views
Hersi alimleta Haji Manara ndani ya Yanga kwa ahadi ya kumheshimu na abadani hatomkosea adabu. Ajabu, Hersi ghafla akanogewa na vitoto vilivyoletwa mjini na Manara na mbaya zaidi akaviruhusu...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Mimi kama mwanachama wa Yanga Nawapongeza viongozi, wachezaji, Wanachama na mashabiki Yanga ni timu Bora katika ukanda huu wa CECAFA, ndio timu pekee iliyokuwa ikishiriki mashindano makubwa ya...
10 Reactions
54 Replies
1K Views
Kwa Tathimini Yangu haya ndio mambo 10 1.Algers walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha kwanza. Walipaki basi na Yanga wakashindwa kupress backline ya Algers. 2.Yanga hawakucheza kama team...
27 Reactions
138 Replies
4K Views
Yanga ni timu bora sana, tumeshindwa kufuzu robo fainali Klabu bingwa Africa sababu ya kupoteza kizembe mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Hilal na baadae kufungwa ugenini na Mc Alger hivyo...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Siku droo ya makundi inapangwa,mitaa ya Twiga na Jangwani ilifurika watu wakifuatilia mubashara, Baada ya kushiba supu walisikika wahuni wakitamba kuwa ''tunamtaka Mamelodi,tunamtaka Mamelodi''...
7 Reactions
13 Replies
611 Views
Simba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.
5 Reactions
37 Replies
924 Views
Kwa sasa Yanga inarudi kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Copco ya Mwanza katika hatua ya 64 Bora sambamba na kusubiri kuanza kwa ngwe ya pili ya Ligi Kuu ikianza na kiporo dhidi...
7 Reactions
14 Replies
518 Views
Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni. Msimu huu kuna mambo kadhaa...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye...
6 Reactions
7 Replies
486 Views
Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika...
5 Reactions
4 Replies
329 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…