Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa...
12 Reactions
70 Replies
4K Views
Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili . Uongozi wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma alikuwa mgeni rasmi katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Ramadhan Cup 2023, tarehe 27 Machi, 2023. Kwenye mchezo wa ufunguzi...
2 Reactions
2 Replies
726 Views
Kachukua Kombe la Ligi, Ngao mara mbili na FA, si mwingine ni yule yule mwamba kutoka Tunisia hakika huyu ni kocha wa mpira hapa Yanga wamelamba dume. Ipo hivi mpira wetu wa bongo, wachezaji...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele? Mchezaji wenu wa kawaida sana...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Tutaje fist eleven ya EPL... 1. Alison 2. Tripier 3. Silva 4. Botman 5. Dias. 6. Caicedo 7. Salah 8. Debrune 9. Halland 10. Kane 11. Ivan Toney... Ukiweza weka na mfumo kama ni 44 2 au 433..nk.
2 Reactions
54 Replies
2K Views
Kilichomtokea Fiston Mayele jana sio kigeni kwenye ulimwengu wa soka hasa ukiwa mchezaji no 9 asilia. Siku hazifanani na jana siku nzuri iligoma kuwa upande wa Fiston. Wakati Congo wanaongoza...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Ukimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kocha Antonio Conte ameachana na klabu ya Tottenham akisema ni kwa makubaliano na pande zote mbili ambazo zimefikia haki. Hata hivyo, ni wazi kuwa mdomo ndio uliomkumba Conte klabuni hapo kwa...
2 Reactions
6 Replies
847 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni kweli Chama amewaka kiasi na kulikuwa na ugomvi na kocha wake huko nyuma, sasa swali ni je, ni nani amenyanyua mkono na kufata mfumo wa mwenzake?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya siku kadhaa za presha na tetesi hatimaye pande mbili baina ya klabu na kocha huyo zimeafikiana kuvunja mkataba na sasa timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda ambaye ni Cristian...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani timu ya Arsenal haijaanza kuteseka leo Tarehe ya jana mwezi huu arsenal alitobolewa misumari sita na chelsea Tuwaombee wachukue EPL mateso yamewaanza muda mrefu Respect kwa kocha...
0 Reactions
17 Replies
733 Views
Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa...
12 Reactions
57 Replies
5K Views
Wote walivyokuwa katika fomu zao, nani anaanza kwenye kikosi chako na kwasababu gani aanze?
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Mashabiki wa bayern munich wanalalamika Sadio Mane haonyeshi kile alichokifanya Liverpool kwa miaka mitano Ila kwa watu wa mpira tulimuona Sadio Mane msimu wa mwisho akiwa Liverpool alikuwa hoi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
WAKATI ligi mbalimbali zikielekea ukingoni, kuna rundo la wachezaji wapo nje ya uwanja wakiuguza majeraha waliyoyapata katika majukumu yao msimu huu na wengine hawajatumikia kabisa hata mchezo...
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Sijui timu za DRC zimekumbwa na nini, zote ziko hoi taabani zikivuta mkia kwenye makundi yake!! Hakuna cha TP Mazembe wala Vita!! Hata zikikutana na Ihefu zitaambulia kipigo cha mbwa mwizi!!
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama ukibisha njoo ubishe kwa hoja
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…