Kila siku humu JF tukiwaambia mbu mbu mbu kuwa wanakikosi tia maji tia maji wanabisha Sasa nadhani wameelewa ...Yanga imetoa wachezaji Saba dhidi ya 3 kutoka mbumbumbu FC imagine mzize, sure boy...
Naombeni kujua hacks or any tricks za kushinda angalau kidogo zile casino games za parimatch. Hasa aviator na Ile balloon game na football game.
Any tricks kwa anaejua. Niplay vipi ili lile...
Kwanini alimtoa Halland jana wakati alihitaji goli moja kuvunja rekodi ya Messi?
Au Pep ni mshabiki wa messi ambaye anajaribu kuzuia rekodi zake zisivujwe? Jamaa kwa kweli anazingua sana. Jamaa...
Hassan Dilunga amerejea tena Simba Sc mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu.
Picha zimemuonesha HD akiwa mazoezini huku akitupia jezi mpya za mazoezi za Simba SC.
Hii itakuwa habari...
Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns.
Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele...
CAF inaona gharama kutumia VAR katika kila mechi, na imeona ni vyema kwa sasa timu zitakazoingia robo fainali ya Klabu za Afrika ndio ziwe zinacheza huku mitambo ya VAR ikiwa imefungwa. Sioni...
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round...
Mchezaji wa Manchester City Erling Halaand atupia magori matano ⚽ kwenye hatua ya 16 Bora UEFA.
Manchester city 7 -0 Rb Leipzg. Manchester City mabingwa wa UEFA 2022/2023🥇🏆save hii.
Sharom wapendwa,
Hivi timu zetu pendwa za Kariakoo zina hao maafisa wa video analysis au sisi tunaangalia wasemaje wa timu ndo watatusaidia kutuvusha kimpira sasa hivi mambo yamebadilika sana kwa...
Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho?
Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa...
Al Ahly Egypt (Makombe 24)
Vikombe vya klabu bingwa Africa 10
Vikombe vya klabu bingwa wanawake 4
Kombe la shirikisho 1
Super cup 8
Afro-asian cup 1
Zamalek Egypt (Makombe 13)
Vikombe vya klabu...
Wakuu,
Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca.
NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
Huu uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa Horoya popote pale walipo hapa Duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni.
Jumamosi tuna jambo letu.
Yaani leo ndio nimejua kumbe mpira wetu nikama siasa zetu tu hatupoki professional kabisa.
Wasemaji wote wa simba na yanga wameongea kuhusu mechi za kimataifa zinazokuja.
Ajabu wapo bize kwenye...
Kinara wa magori katika timu ya taifa Mrisho halfan Ngasa ambaye ana magori 25 katika timu ya taifa(taifa stars).
amesema anatamani kupewa thamani ya kustaafu soka la kimataifa kutokana na...
NDIVYO ukweli wa maisha ulivyo, hasa katika dunia ya kibepari. Nani anajali alipo Hassan Dilunga maarufu kwa watangazaji wa Azam kama ‘HD’ ? Miezi 24 iliyopita alikuwa wa moto hasa. Halafu baadaye...
Ingawa huu usemi umetamalaki kwenye sekta mbalimbali hasa za michezo hapa Tanzania, ila kama ulikuwa hujui basi chukua hii Leo.
Mwaka 1993 klabu ya Simba ilifika fainali ya michuano iliyoitwa...